PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,447
The only reoson people fail in life, is because they listen to their relatives, friends and neighboursKlop toka dortmund hanaga historia ya kuchukua uefa hata mara moja, ndio maana final ya madrid ilikuwa na gundu balaaa mkapigwa kizembe mnoo
Liverpool mwaka huu hamchukui hata kombe la mbuzii
Klop toka dortmund hanaga historia ya kuchukua uefa hata mara moja, ndio maana final ya madrid ilikuwa na gundu balaaa mkapigwa kizembe mnoo
Liverpool mwaka huu hamchukui hata kombe la mbuzii
On paper City easily will eliminate Spurs!On paper, City ana % kubwa ya kuwa bingwa.
Take it or leave it. Not ready to get into this argument.
Kaka labda mgeni hapa!Na mm Sina haja ya kuendelea kulumbana ila Ni huyo city alionekana ana nafasi kubwa % za kuingia nusu fainali dhidi ya tothnm..#MPIRADAKIKA90#
City pia wamemtoa Spurs jana!City will beat Spurs this weekend.
Hahahahahahahahahhahahahahahahahah Mungu mtu wao PepKaka labda mgeni hapa!
Kuna watu hapa wanawaona City zaidi ya Barca ile ya akina Iniesta!
Sasa Mumgu Mtu wao Pep akitolewa huwa wanaona aibu sana
Liverpool akishinda mechi zake nne zote zilizobaki anakuwa bingwa wa EPL!
City wameisha choka hawa,na "Kane-golaso" angekuwepo wangepigwa hapo hapo Itihad
HahahahahahahahahOn paper City easily will eliminate Spurs!
Mungu-Mtu wenu katolewa UCL
Hahahahahahahahahhahahahahahahahah Mungu mtu wao Pep
Hahahahahahahahah
Did FC Roma managed to stop Messi? Hell no!
But in the end, the final result made even Messi himself to cringe
We don't discuss history.
What?
So, Is this not History? Use your mind to think before bringing your trash kwenye thread
Msimu huu.wameimarika sana, kila idara, hivo wana asilimia kubwa kuondoka na silverware zote mbili au moja wapo , naona ya EPL ndio rahis zaid, maana mech mbili zijazo za city...kuna moja atasare,,Klop toka dortmund hanaga historia ya kuchukua uefa hata mara moja, ndio maana final ya madrid ilikuwa na gundu balaaa mkapigwa kizembe mnoo
Liverpool mwaka huu hamchukui hata kombe la mbuzii
Ili mchukue ubingwa man city apigwe kabisa ,vinginevyo epl mtaisikia kwenye bombaMsimu huu.wameimarika sana, kila idara, hivo wana asilimia kubwa kuondoka na silverware zote mbili au moja wapo , naona ya EPL ndio rahis zaid, maana mech mbili zijazo za city...kuna moja atasare,,
Mkuu mm ni arsenal fan, ila nimezungumzia uhalisia uliopo, Kwa mech zilizobaki kwa Liverpool sion akipoteza wala kutoa sare hata mech moja, man city ana nafas ya kudrop point. ,kumbuka man u hana chakupoteza tena hata Tottenham, maana wasipokaza msimu ujao watakuwa futuhi, hivo tarajia ktk mech hizi mbili kuna sare moja ambayo itakuwa advantage kwa liver,Ili mchukue ubingwa man city apigwe kabisa ,vinginevyo epl mtaisikia kwenye bomba
Una kikosi dhaifu kiasi gani mpaka Manure wawe tishio?Tatizo kubwa ulilonalo Ni kutumia techno
Barca tunapiga mpaka anachakaa
Our biggest threats walikua manure, man city na totts
Hawa wengine jiandae kutusifia
Sare ya wolves haujaiona?Mkuu mm ni arsenal fan, ila nimezungumzia uhalisia uliopo, Kwa mech zilizobaki kwa Liverpool sion akipoteza wala kutoa sare hata mech moja, man city ana nafas ya kudrop point. ,kumbuka man u hana chakupoteza tena hata Tottenham, maana wasipokaza msimu ujao watakuwa futuhi, hivo tarajia ktk mech hizi mbili kuna sare moja ambayo itakuwa advantage kwa liver,
Man u watafia uwanjan hiyo mechi, maana madhara ya kutokucheza UCL kwao ni makubwa sana