Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Messi hawezi zuiwa na uyo shoga mwenye uparaFabi hio kazi akipewa anakaba mpama kivuli...Barca kuwafunga ni kuhakikisha mipira kwa Messi haimfikii kamwe maana ndogo ni master pass ukiacha pia mfungaji...
wao hutumia pia mabeki wa pembeni kama sasa kupeleka mashambulizi ukiangalia assist za Jordi utaona umuhimu hivyo ni kama vile tunacheza mfumo sawa hii game ita balance sana...
uzuri sisi hatuna nani azuiwe ili watufunge sisi ni mazima kwenda mbele mazima kurudi kuzuia...
hawa naona wakifa mbio za Mane na Salah pale mbele zitawachanganya...
Hahahaha mkikaba Messi busquet king of disguise passes atamlisha Suarez na magori yataingia siku ya kumuona Allison kuwa ni karius imewadiaTimu yetu ina morali ya hali ya juu,na uhakika tutacheza kama unit,huku messi akikabidhiwa fabinho,fainali mpaka ubingwa nauona huu hapa
Hatimae umejisalimisha mwenyeweKitendo cha kuifunga Chelsea nimeamini mna kikosi bora sijapata ona, hongereni kwa ushindi dhidi yetu ..sasa ni kazi kwenu kuchagua ni kombe gani mnyanyue.
Liverpool 2-0 Chelsea
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora tulivyo anzia ugenini.First leg - Camp Nou (April 30 / May 1)
Second leg - Anfield (May 7/8)
Times and dates confirmed on Thursday.
Hahahaha mkikaba Messi busquet king of disguise passes atamlisha Suarez na magori yataingia siku ya kumuona Allison kuwa ni karius imewadia
Kwako wewe beki bora kwa sasa ni naniMajogoo wa kike wanavyodanganyana watamtoa Barca ni Sawa ni kama wanavyodanganyana kuwa VVD. Ni beki Bora ujinga mtupu
Sasa kwa viungo wenu fabinho, milliner, Henderson na keita kabisa wapo tayari kupambana na Sergio, rakitic na fundi mdogo arthur melo...
Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
Ranked! The 5 best centre-backs in the worldMajogoo wa kike wanavyodanganyana watamtoa Barca ni Sawa ni kama wanavyodanganyana kuwa VVD. Ni beki Bora ujinga mtupu