Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,472
- 32,923
Chelsi hua mostly Anfield aidha watupige au draw, kama sikosei hatujawafunga kwetu tangu 2012..
Kabisa next mission sasa ni kupunguza goal difference cz Citi hapo wanatuzidi.. hivyo Klopp mechi hizo mbili alete heavy metal football.
His assistant ameplay part kubwa sana see vile tumemtransform captain kutoka box to box defensive midfielder to attack role upfront imempa uhai sana kwa hizi game 3 so far he playedChelsi hua mostly Anfield aidha watupige au draw, kama sikosei hatujawafunga kwetu tangu 2012..
sasa jana wamekaa roho safi kabisa na clean sheet, kelele zote zimeisha..
Klopp amekua fkexible sana na mfumo na upangaji kikosi japo kachelewa kuyafanya haya mwishoni mwa msimu bado tuna nafasi ya kupata makombe mawili.
kabisa wametupa kampani ya kutosha itakua poa sana th Ganaz waingie big four na wataweza kuvutia pia wachezaj quality kabisa na kuimarisha ushindani wa ligi...
bwana wee, nilisoma Sky eti Hendo ndio alimuomba Klopp acheze box to box na Fabi acheze defensiv md..na Klopp akakumbali...His assistant ameplay part kubwa sana see vile tumemtransform captain kutoka box to box defensive midfielder to attack role upfront imempa uhai sana kwa hizi game 3 so far he played
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaaaa hakuna hofu ya zile back pass tenabwana wee, nilisoma Sky eti Hendo ndio alimuomba Klopp acheze box to box na Fabi acheze defensiv md..na Klopp akakumbali...
uzuri Hendo kwa hii nafasi yake mpya ni kama sio.yeye vile anajituma sana tu na akiedelea hivi msimu ujao tunae Le Captain hapa hapa Anfield..
whats matters now ni pointi 3 tu hata akicheza straika ni sawa lakini pointi 3 tubakie nazo...
Katika Kitu ambacho Klopp alikuwa Ananipa Headache ni Kumchezesha Hendo kwenye DM while kila mtu alikuwa akiona kwamba He is shit at that position.
Now tumepata Mtu sahihi wa hilo eneo FABINHO na Hendo amepelekwa anapostahili kuwepo.
So, Klopp sasa ndiyo amefanya good soccer management, Lakini hapo awali alikuwa na Bad soccer management kwa Kumchezesha Hendo at Six ingawa tuliomkosoa tulionekana tuna chuki na kocha na hatujui kitu.
Kama sisi tulivyopania kumfunga Spurs na Chelsea nadhani na Man City watapania kumfunga Spurs na Manure.
Sioni nafasi ya kushinda EPL msimu huu...
Tulipata nafasi lakini tukashindwa kuitumia.
Think Klopp ameshamuamini Fabinho kwa Big games Coz against Bayern, Spurs and last night against Chelsea ameperform well.
Now its crazy kumuweka bench katika big games wakati Jana amewafanya Kante na Joginho kuwa Wazururaji.
Kama sisi tulivyopania kumfunga Spurs na Chelsea nadhani na Man City watapania kumfunga Spurs na Manure.
Sioni nafasi ya kushinda EPL msimu huu...
Tulipata nafasi lakini tukashindwa kuitumia.
Umeeleza kila kitu kabisa msimu huuSidhani kama unayoyasema ni kweli,
Tumedrop point v man u away
Everton away
W ham away na wote walisema kabla ya mchezo kuwa watapigana mpaka kufa ila hawaachi point 3.so far so good tupambane mpaka mwisho na kama tutakosa ubingwa basi ni ubora wa mshindani wetu man cty na sio mapungufu yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama unayoyasema ni kweli,
Tumedrop point v man u away
Everton away
W ham away na wote walisema kabla ya mchezo kuwa watapigana mpaka kufa ila hawaachi point 3.so far so good tupambane mpaka mwisho na kama tutakosa ubingwa basi ni ubora wa mshindani wetu man cty na sio mapungufu yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazo zuri kabisa hili. Tulifanyie kazi ama mechi ya mwisho ya ligi au tukiwa tunachukua kombe la UEFA Champions League.Pamoja sana mkuu,I WISH SIKU MOJA MECHI TUPANGENI WANA LIVERPOOL TUANGALIE GAME PAMOJA...HASA YA MWISHO
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi fabihno amesha kopy mfumo,watu tulikuwa tuna laumu tu mbona yuko nje hata kama afiti bado na utaratibu wa uchezaji tunataka acheze tu.
Sasa tunaanza kumuelewa klopp.mechi ya kwanza na Bayern alicheza beki alifanya vizuri sana na mechi ya pili kipindi cha kwanza tulizidiwa mpaka akapewa kadi tulivyorudi kipindi cha pili nikakubali,maana alibadilika kabisa yaani pale kati dimba lote anamiliki yeye.
In klopp we trust.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Spurs na manure watapania pia iliwabaki top 4.
Let wait and see mkuu,ila Liverpool msimu huu anasifa za kuwa bingwa. Anamaliza ligi kafungwa mechi 1 tu.
Sent from my iPhone using JamiiForums