kwa kweli aliumia sana ukizingatia historia yake ni kila akipanda EPL basi aidha afukuzwe kazi au anashuka daraja inauma sana...
Mtoto HALALI na hela
If we beat Chelsea next week,we will be EPL champion!
Huyo umeyasema wewe sisi hatuyajuiHivi mkuu unajua City hawapotezi mchezo mpaka hii ligi inaisha?
yes he desrves indeedHalafu alipotokea Hendo na kubandika hilo goli kwakweli anastahili pongezi Le Captain
HahahahahahahahahahaYan inatakiwa nyie ndy mpambane mrudshe goli. Kwahy la msing hapa ni soton aongeze lingne ili hadi mrudshe, itakua 94+
City wameisha chokaHivi mkuu unajua City hawapotezi mchezo mpaka hii ligi inaisha?
as usual Liverpool wins...tupo mpaka kieleweke...Pep here we comeYou mean Liverpool wameshindwa?