Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
du ngumu hii sidhani kama inawezekanaKops kuna tetesi huko kuwa Richarlison anaweza tua Anfield
Nini maoni yenu kumhusu huyu MBrazil kutua Anfield
du ngumu hii sidhani kama inawezekanaKops kuna tetesi huko kuwa Richarlison anaweza tua Anfield
Nini maoni yenu kumhusu huyu MBrazil kutua Anfield
itajulikana mbele kwa mbele...kwa sasa twalala unono St Marys si mahala salama sana..Hivi mkuu unajua City hawapotezi mchezo mpaka hii ligi inaisha?
Wew nin wew!! Ni kwamba huamin au ni vp? Au hujui mpr una matokeo matatu? Mbn kushinda ni kitu cha kawaida sana na siyo mpk ujitoe akil hiv wakat unajua kila mtu anaangalia mech hii
Na hiyo point moja wataandika kwa mkono....itanganganiwa had ligi iisheHivi mkuu unajua City hawapotezi mchezo mpaka hii ligi inaisha?
cjaangalia mpira ila nimefurahi ulivyompongeza umenikumbusha ile methali mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeniHalafu alipotokea Hendo na kubandika hilo goli kwakweli anastahili pongezi Le Captain
Hivi mkuu unajua City hawapotezi mchezo mpaka hii ligi inaisha?
Na hiyo point moja wataandika kwa mkono....itanganganiwa had ligi iishe
Taratibu utatuelewa huwa tunamaanisha niniFab na Keita waanze LKN walindwe na Milner
Ukiwapa pia Wilj wote wanakuwa watu wa skills hamna 'mkata umeme'
Mafundi watupu watatu kati haiwezekani lzm awepo kichaa kama Milner
Hiv wew una tatizo gani?
Mmeshaamua kutoingiza timu uwanjani game ya City?
le capitainnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn hahahahahahahahahaha aongezewe mkataba huyu mtu
Southampton 1-3 Liverpool. Wow!bet won. Nilikuwa na wasiwasi sana.as usual Liverpool wins...tupo mpaka kieleweke...Pep here we come
kila mtu ashinde mechi zake tukutane UEFA hahahahaha