Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mechi city ambazo atakazo poteza ni ya crystal palace na Leicester.

Mechi zilizopita city alifungwa na hizo timu mkuu,mechi na crystal alifungwa pale etihad, kama unafatilia mpira vizuri msimu uliopita city akumfunga crystal palace nyumbani kwake kwenye epl.

Leicester yupo brendan rogers sasa Leicester ni ya moto balaa,kushinda iliyomfunga city round ya kwanza.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Hata kama City atapoteza mechi ama kutoka sare, kwa uchezaji wa Milner na Hendo Bashite tuna kibarua kigumu sana kuifunga Southampton na Newcastle away.
Defense iko poa.
Front 3 wako poa.
Shida ni midfield tu especially akianza Jordan Bashite na Milner huwa tunaishiwa creativity kabisa.
In my own opinion tulipoteza opportunity in January
 
IMG_5081.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi klopp
kaoneshwa na Mungu through injury ya hendo vs bayern
sub ya jana bado tu... Huyu hendo apate ya ox na ox apate ya hendo.

Klopp katuzuga jana ili isionekane ni sub ya Hendo out faby in akachenga ikawa

milner out faby in
hendo out origi in

hahaha nyamafu kabisa..

EE MUNGU TUSAIDIE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh ila huyu VVD sijaona weaknes yake mpk sasa labda mniambie ndugu

Jana alivyo kifanya wakat yuko na zile forwad mbili za spurs tunakila sababu ya kusema SOTON tuwape
Pesa nyingine zaid

13SEPTEMBER
Yule jamaaa bhna ni level nyingine. Ingetakiwa muwape hela zingine soton hata kifutia jasho tu kinatosha...usajili ukianza tu, mkiona kuna mchezaji wanamtaka hlf hawafiki bei, mnabd muwapige support wamchukue huyo mchezaji
 
Hata kama City atapoteza mechi ama kutoka sare, kwa uchezaji wa Milner na Hendo Bashite tuna kibarua kigumu sana kuifunga Southampton na Newcastle away.
Defense iko poa.
Front 3 wako poa.
Shida ni midfield tu especially akianza Jordan Bashite na Milner huwa tunaishiwa creativity kabisa.
In my own opinion tulipoteza opportunity in January
Jordan Bashite 😂😂😂😂😂
 
Yule jamaaa bhna ni level nyingine. Ingetakiwa muwape hela zingine soton hata kifutia jasho tu kinatosha...usajili ukianza tu, mkiona kuna mchezaji wanamtaka hlf hawafiki bei, mnabd muwapige support wamchukue huyo mchezaji
Jamaa wakati anahojiwa,akasema alivyoona yuko na wachezaji wawili,alimwangalia Son akajua akipewa pasi lazima angefunga hivyo alibana kulia zaidi kwa Sissoko ili aweze kupiga shoot kwa mguu wa kushoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom