Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Duh ila huyu VVD sijaona weaknes yake mpk sasa labda mniambie ndugu

Jana alivyo kifanya wakat yuko na zile forwad mbili za spurs tunakila sababu ya kusema SOTON tuwape
Pesa nyingine zaid

13SEPTEMBER
Jamaa anajua , aliziba nafas huku anakaba ,

Jamaa ni world class aisee

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Dah naona kama sisi mechi tulizobaki nazo ni ngumu kuliko za man city, vipi wadau mnaonaje je tunatoboa kweli, sema mapambano yanaendelea ni lazima huu msimu tunyanyue Kikombe

Repent *4 cause we're two steps away from a real disaster, think there is a boss but a who are the master?life set a pace, everything's much faster need to slow down and pray, forgive them
Mkuu game ngumu siioni tena kwa sasa

Labda kwa vile EPL ni league ya kambale Baba ndevu mama ndevu watoto ndevu

13SEPTEMBER
 
IMG_5924.JPG
 
Halafu atakuja mjinga mmoja hapa na soccer management hao wenye akili huko duniani wanaona kabisa klop anakosea kutomwanzisha fabby na wanaweka wazi kabisa mido ya hendo ,gin ,milner imefeli
Na ni muda wa Hendo kukaa benchi
 
Mkuu kutokana na Pumba zake nimemshtukia yule Boya ni Humphrey Polepole bali anaficha ID yake tu.
 
Duh ila huyu VVD sijaona weaknes yake mpk sasa labda mniambie ndugu

Jana alivyo kifanya wakat yuko na zile forwad mbili za spurs tunakila sababu ya kusema SOTON tuwape
Pesa nyingine zaid

13SEPTEMBER

Playing Back Pass is his biggest Weakness always keeping Alisson underpressure.

Remember vs Leicester first Round, vs Fulham 2nd Round and some few other games
 
"Mkuu jaribu kuangalia hii Kauli Kwa Upana Zaid"

Ikiwa Manure atshinda Mechi Zake
Palace atashinda Mechi Zake
Na sisi tutashinda Mechi zetu
Vipi hatuna nafasi ya kubeba ubingwa?
Lakini hesabu za kumpangia sasa Manure amfunge Man City apo ndiyo meaningless.

Mkuu Klopp katufelisha from the Beginning sasa imekuwa shida kufight back.

"Kila Mtu Ashinde Mechi Zake"

Uko sahihi kabisa
Sioni ManCity akipoteza mechi yoyote kati ya zilizobaki
We blew up the opportunity back in December/January
 
Uko sahihi kabisa
Sioni ManCity akipoteza mechi yoyote kati ya zilizobaki
We blew up the opportunity back in December/January

Mechi city ambazo atakazo poteza ni ya crystal palace na Leicester.

Mechi zilizopita city alifungwa na hizo timu mkuu,mechi na crystal alifungwa pale etihad, kama unafatilia mpira vizuri msimu uliopita city akumfunga crystal palace nyumbani kwake kwenye epl.

Leicester yupo brendan rogers sasa Leicester ni ya moto balaa,kushinda iliyomfunga city round ya kwanza.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom