Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Los Bloncos fans behavd like thier president i gues that in thier DNA kutoridhika esp wt any loss of form kwa wachezaji wao...i remember hata CR7 alikua anazomewa jst cz hajafunga mechi kadhaa...they are highly demanding no pampering kule..Zidane likes Mane..
But can see them going hard on Hazard. He’s more marketable than Mane.
And i think, Mane will be hated by madrid fans, suala lake la kutokuwa na consistency litamgharimu sana kule, si unaona jinsi madrid fans wanavyo-mtreat Bale, unaweza ukadhani hakuwafungia decisive 2 goals kwenye CL final last season. he should stay katika club ambayo anakuwa more appriciated more.
But, kama madrid watakuwa serious na ku-test kina cha maji kwa £100m, FSG may agree to sit down with them.
aje tu tunahitaji magoli nje ya box na ndogo kwa mashuti ajambo sana...kipaji kipo na Klopp atamfanya kua bora zaidi endapo akimpata na ampange namba yakeNamuelewa sana huyu mtu...Klop fanya kweli
Dogo has a Dream
huyu mktabata nilidhani unaisha juni 2019 na aodoke bure...kumbe bado tunaweza pata chochote basi wachukue pesa chapLazio wanatarajia kuketi na liverpool kufanya biashara ya kumnunua A.Moreno.
Sent using Jamii Forums mobile app
real deal on fire...mambo ni motoooo...