Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,107
- 10,473
Ahahaaaah...Muhimu sana, tukiwa wadogo tukienda banda umiza kuangalia movie, nilikuwa nasema najua siwezi kufikia uwezo wa starring, nikawa namwomba Mungu anipe angalau wa wale majambazi wadogo.
Kuna majambazi kwenye movie yanakuaga noma sana,yaani mtu unajikuta unamkubali jambazi kuu kuliko star wa movie...
Kuna movie ya Batman(The Dark Knight) sijui kama umeiona,kwenye hiyo movie namkubali sana adui mkuu,anaitwa Joker...