Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nakumbuka nishawahi kumuuliza Malcom Lumumba nifanyaje angalau kufikia hata robo ya uwezo wake...
Eti aliniambia niwe na utaratibu wa kupenda kujisomea somea..!
Wewe unaliamini hilo jibu lake mkuu..?

Ni kweli kabisa, kusoma hasa vitabu kunasaidia sana kuwa na knowledge ya vitu vingi. Maana unakuwa na reference nyingi unapotakiwa kujadili jambo.

Kuna vitabu, biography, bibliography, documentaries ni source kubwa sana ya knowledge.
 
Tuachane na hizo penati kwanza...
Kwahiyo wewe unaamini Man City wanawapa pesa marefa ili wafanye maamuzi yenye kuwabeba..?

Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuamini au kusema tu kuwa Man City wanawapa pesa Refaree.

Refa anaweza kuipa Favour timu kwa Mapenzi tu bila ya kupewa chochote kama walivyokuwa wakifanya hawa Kwa Man United wakati wa Ferguson:

1) Craig Pawson
2) Mike Deen
3) Anthony Taylor
4) Lee mason
5) Martin Atkinson
6) Howard Webb

Hawa walikuwa na Mapenzi binafsi kwa Man United kiasi ya Kwamba timu ikicheza na Man U basi ijiandae kufungwa kwa Njia yoyote ile.

Tokea Astaafu Ferguson na baadhi ya Marefa hao hatujawahi Kucheza na Man United tukapigiwa Penalty wala Mchezaji wetu kupigwa Red Card.

Lakini Wakati wa Ferguson na Marefa hao kuwa na Mapenzi na Ferguson ilikuwa so Rahisi kucheza Msimu mzima na Man U bila ya mchezaji wetu kula umeme au kutokupigiwa Penalty na Man U.
 
Hapana, dah hao jamaa viatu vyao ni vikubwa sana kwangu mkuu.

Ni moja ya watu na admire sana level zao za uelewa na jinsi wanavyowasilisha mada zao.

Very critical and analytical.

Humble African ana thread moja kuhusu elimu ya Japan na jinsi tunavyoweza kujifunza kwao, ile nimewahi kuitumia presentation fulani, nilionekana kichwa balaa.
Aiseee, naona mshaanza kuzingua sasa.
 
Ni kweli kabisa, kusoma hasa vitabu kunasaidia sana kuwa na knowledge ya vitu vingi. Maana unakuwa na reference nyingi unapotakiwa kujadili jambo.

Kuna vitabu, biography, bibliography, documentaries ni source kubwa sana ya knowledge.
Nilifuata ushauri wake mkuu...
Ila mimi naamini genes,malezi/makuzi na lishe ni vitu vikuu vinavyochangia uwezo wa mtu katika kufikiri..!
Bila hivyo nilivyotaja naamini kitabu hakina msaada mkubwa...
 
Mkuu unachosema ni kweli, ila pia kwa kiasi kikubwa unaweza kujifunza sana kutokana na kusoma. Amini nakwambia.

Kuna inborn traits kwenye akili, lakini bila kuicompliment kwa kusoma haiwi kitu.

Wewe ni mshabiki wa mpira, angalia tofauti ya Messi na Ronaldo kwenye swala la talent, Messi kamwacha mbali sana Ronaldo kwenye talent, ila Ronaldo kwa kutumia talent kiasi aliyonayo anafanya sana mazoezi na kujifunza kila siku mpaka anaweza kuwa kwenye same discussion na Messi in terms ya achievement.

Kuna msemo kwamba Hardwork Beats Talent.
 
Endelea kufuatilia tu mkuu, mdogo mdogo tu.
 
Ngoja niwe Cristiano Ronaldo Kiongozi...
 
Indeed, hard work beats talent. But if you have talent and you work hard, matokeo yake ni hatari sana.
 
Daah naona mshaanza kuzingua, hizi ni mbwembwe za hapa JF tu mkuu. Kuna watu wana akili sana mzee

That is the humbleness we are talking about.

Kuna jamaa angeona kasifiwa angeongezea "Mimi ni Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer".

Mkuu we acknowledge how you have impacted changes into us, probably without your knowledge.
 
Duuh hiyo Impact ambayo mnaisema mimi nimeileta humu jukwaani kiukweli hata sijawahi iona. Lakini kama ni kweli iko hivyo basi namshukuru sana Mungu kwamba maneno yangu machache yamebadilisha maisha ya wengi.
 
Ahahaaaah...
Kuna mwingine huwa anajiita mwenye kipaji cha kutukuka..!
 
Duuh hiyo Impact ambayo mnaisema mimi nimeileta humu jukwaani kiukweli hata sijawahi iona. Lakini kama ni kweli iko hivyo basi namshukuru sana Mungu kwamba maneno yangu machache yamebadilisha maisha ya wengi.

Shukrani mkuu, tunakuombea uzima na uendelee kuwa ilivyo.

Mimi binafsi siyo mara ya kwanza kukuambia hii kitu, ninamaanisha nikisema nimejifunza sana kupitia wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom