Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Cool cool sir,

We in these forums come from different cultures, different schools of thoughts, different level of education as well as knowledge level, and those have so much effect on our thinking and analysis of information.

So we should know how to accept the differences and appreciate it.

We all can't think the same.
absolutely!
 
Inatokea, tunatakiwa kuelewa tu kwamba kutofautiana kupo.

Mwanzo mlienda vizuri, then nikaona kama mnaingiza egos and personalities, na hapo ndipo panaharibu discussions.

This is an open forum, kama Liverpool HALISI na trashes zake tunamvumilia, wengine hatuwezi kushindwa kuvumiliana.

Nah bro

Am done with that dude.
 
Cool cool sir,

We in these forums come from different cultures, different schools of thoughts, different level of education as well as knowledge level, and those have so much effect on our thinking and analysis of information.

So we should know how to accept the differences and appreciate it.

We all can't think the same.
JF inaturuhusu kuficha utambulisho wetu,lakini inashindwa kuficha tabia zetu..!
Uko poa sana Kiongozi..!
Sijui unawezaje kuwa hivi aisee..!?
 
Ila kuna mashabiki huwa tunazidisha hisia zetu katika mambo ambayo yanahitaji "common sense"
Huwa nasema kila wakati,hawa marefa ni binadamu wa kawaida sana,na hivyo kufanya makosa ni jambo la kawaida kwao...
Hii kitu haitokei kwenye mechi za Man City tu...
Msimu huu Salah amepewa penati zenye utata,nao wametoa pesa kwa waamuzi..?
Ahahaaaah,ila kuna kitu kingine nimegundua,siku hizi mashabiki wa Liverpool wanazifuatilia sana mechi za Man City na mashabiki wa Man City wanafuatilia za Liverpool pia,na Mashabiki wa hizo timu zote wanaombeana matokeo hasi...
 
OGS honeymoon period is over???

Lets see how he responds..

But i guess united board inatakiwa ipongezwe kwa kutofanya maamuzi ya haraka kumpa mkataba.

Still think they need a better manager

But will be more than happy kama wakiamua kumkabidhi OGS team moja kwa moja.
 
Upo sawa mkuu,ila wengi huwa tunashindwa kwenda sawa na huo mfumo..!
Chief,umesoma shule moja na Malcom Lumumba au Humble African ?

Hapana, dah hao jamaa viatu vyao ni vikubwa sana kwangu mkuu.

Ni moja ya watu na admire sana level zao za uelewa na jinsi wanavyowasilisha mada zao.

Very critical and analytical.

Humble African ana thread moja kuhusu elimu ya Japan na jinsi tunavyoweza kujifunza kwao, ile nimewahi kuitumia presentation fulani, nilionekana kichwa balaa.
 
Ila kuna mashabiki huwa tunazidisha hisia zetu katika mambo ambayo yanahitaji "common sense"
Huwa nasema kila wakati,hawa marefa ni binadamu wa kawaida sana,na hivyo kufanya makosa ni jambo la kawaida kwao...
Hii kitu haitokei kwenye mechi za Man City tu...
Msimu huu Salah amepewa penati zenye utata,nao wametoa pesa kwa waamuzi..?
Ahahaaaah,ila kuna kitu kingine nimegundua,siku hizi mashabiki wa Liverpool wanazifuatilia sana mechi za Man City na mashabiki wa Man City wanafuatilia za Liverpool pia,na Mashabiki wa hizo timu zote wanaombeana matokeo hasi...

No Salaha Penalties zote hazikuwa za utata na Zilikuwa halali kabisa!

Nadhani hukijui kilicholalamikiwa kuhusu Mo Salah...

Mo Salah alilalamikiwa kwa kuwa ni Mwepesi sana kuenda chini pale anapofanyiwa Faulo.
Lakini sio kwamba tumepewa Penalty zenye utata, Kwani hata kama alijilegeza kwenye kuanguka lakini alifanyiwa Faulo... Kwahiyo Maamuzi ya Refa yalikuwa sahihi isipokuwa maamuzi ya Salah kujilainisha ndiyo hayakuwa sahihi.

Kwahiyo kama utakuwa unakumbuka Wachambuzi wengi walielekeza Nguvu zao kumlaumu na Kumkosoa Salah kuwa anawaprovoke Mabeki wamchezee Faulo na kujilainisha kwenye kuanguka, Na wakapendekeza apigwe Ban..
Lakini hawakuwalaumu marefa na maamuzi yao.

But kwa City imekuwa tofauti...
Wao Makosa hayako kwa Wachezaji tu Bali yako kwa Marefa...

Kwamfano Sterling Jana yeye hata hakufanyiwa Faulo lakini Refa katoa adhabu... Hapa Refa anastahiki kukosolewa kwa Maamuzi yasio sahihi.

Man City wanapewa magoli ya Ofside mengi tu...

Kwahiyo Tofautisha Kati ya Mo Salah aliyefanyiwa Faulo lakini akajilainisha Kuanguka! Na Man City ambao hawaginyiwi Faulo lakini Wanadive na Kujiangusha.
 
Hapana, dah hao jamaa viatu vyao ni vikubwa sana kwangu mkuu.

Ni moja ya watu na admire sana level zao za uelewa na jinsi wanavyowasilisha mada zao.

Very critical and analytical.

Humble African ana thread moja kuhusu elimu ya Japan na jinsi tunavyoweza kujifunza kwao, ile nimewahi kuitumia presentation fulani, nilionekana kichwa balaa.
Hao jamaa wako njema mpaka kuna muda huwa siwaelewi aisee...
Kila wanachokiandika kina make sense,hata kwenye utani..!
Kila kitu wanafuatilia,burudani,michezo,siasa na elimu (alafu wako deep kwelikweli)
Ahahaaaah, hao jamaa ni mwisho aisee..!
 
No Salaha Penalties zote hazikuwa za utata na Zilikuwa halali kabisa!

Nadhani hukijui kilicholalamikiwa kuhusu Mo Salah...

Mo Salah alilalamikiwa kwa kuwa ni Mwepesi sana kuenda chini pale anapofanyiwa Faulo.
Lakini sio kwamba tumepewa Penalty zenye utata, Kwani hata kama alijilegeza kwenye kuanguka lakini alifanyiwa Faulo... Kwahiyo Maamuzi ya Refa yalikuwa sahihi isipokuwa maamuzi ya Salah kujilainisha ndiyo hayakuwa sahihi.

Kwahiyo kama utakuwa unakumbuka Wachambuzi wengi walielekeza Nguvu zao kumlaumu na Kumkosoa Salah kuwa anawaprovoke Mabeki wamchezee Faulo na kujilainisha kwenye kuanguka, Na wakapendekeza apigwe Ban..
Lakini hawakuwalaumu marefa na maamuzi yao.

But kwa City imekuwa tofauti...
Wao Makosa hayako kwa Wachezaji tu Bali yako kwa Marefa...

Kwamfano Sterling Jana yeye hata hakufanyiwa Faulo lakini Refa katoa adhabu... Hapa Refa anastahiki kukosolewa kwa Maamuzi yasio sahihi.

Man City wanapewa magoli ya Ofside mengi tu...

Kwahiyo Tofautisha Kati ya Mo Salah aliyefanyiwa Faulo lakini akajilainisha Kuanguka! Na Man City ambao hawaginyiwi Faulo lakini Wanadive na Kujiangusha.
Tuachane na hizo penati kwanza...
Kwahiyo wewe unaamini Man City wanawapa pesa marefa ili wafanye maamuzi yenye kuwabeba..?
 
Hao jamaa wako njema mpaka kuna muda huwa siwaelewi aisee...
Kila wanachokiandika kina make sense,hata kwenye utani..!
Kila kitu wanafuatilia,burudani,michezo,siasa na elimu (alafu wako deep kwelikweli)
Ahahaaaah, hao jamaa ni mwisho aisee..!

Kama ni Basketball tunaita all rounded players au siyo!

Centre, PG, SG, PF, SF zote wanakaba.

Huwa nawaza what does it take kufikia level zile, wako vizuri jamaa.

Na kuna humbleness unayoiona kwenye maandishi yao, kiasi kwamba unajikuta una admire personality zao kwa jinsi wanavyopresent content zao.
 
Siamini kama yote haya hayaoni na hata kama haoni mbona mchango wa mchezaji unaonyesha kabisa nini kafanya uwanjani?
Naamini Klopp atakua kuna boss anampangia kuhusu Hendason.

Ni vitu vya aibu kabisa mechi kama ya juzi eti unamuweka bechi Faby kafanikiwa kumpoteza Keita bado anaona anataka kuharibu na akili ya ya Faby uzuri jamaa hana jazba ni kama keahajua nini kinaendelea
 
Kuna mdau sehemu moja huko twitter sikumbuki ni lini lakini aliandika kitu kama hichi:

"If Klopp had unlimited FIFA coins"

RONALDO - MESSI - MBAPPE

MILNER - HENDO - GINI

ROBBO - VVD - LAPORTE - TAA

MARC-ANDRE TER STEGEN
Hayo ni mawazo ya Mdau wetu kuwa hata Sheikh Mansoor aikache Man City na aje ahamie Liverpool kumwaga Oil Money basi Mido bora itabakishwa hiyo na Klopp.

Cha ajabu Mtu anapotoa maoni kama hayo kwenye Uzi huu anakuwa attacked, why?

Looke like some people wanna control us what to post and what to think!

Tena the most amazing ni kwamba mtu anatembelea Websites tofauti kuangalia Pundits wanamzungumziaje Klopp na Liverpool then anakuja Hapa na Zile positive views kwa upande wake kama ni Backup..

Lakini kwenye Website hizohizo anachuja na kuyawacha maoni ya haohao Pundits kisa na wao wanakosoa baadhi ya Maamuzi ya Klopp.
 
Kama ni Basketball tunaita all rounded players au siyo!

Centre, PG, SG, PF, SF zote wanakaba.

Huwa nawaza what does it take kufikia level zile, wako vizuri jamaa.

Na kuna humbleness unayoiona kwenye maandishi yao, kiasi kwamba unajikuta una admire personality zao kwa jinsi wanavyopresent content zao.
Nakumbuka nishawahi kumuuliza Malcom Lumumba nifanyaje angalau kufikia hata robo ya uwezo wake...
Eti aliniambia niwe na utaratibu wa kupenda kujisomea somea..!
Wewe unaliamini hilo jibu lake mkuu..?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom