kichwa mbovu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 706
- 504
HahaaaaaaaaaaUEFA watengeneza hela mpaka sasa tayar wana mech zao washajua zakutengeneza mkwanja
Mimi naziona mechi hizi
Barca vs man city
Liver vs barca
Man u vs liver
Hiyo kesho wanakuja kukamilisha ratiba na vile vipira vyao ,
Sent using Jamii Forums mobile app
ngwaba unavyomsakama hendo utadhani mke mwenza mmoja anavyomsakama mwenzake
Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani kumsikia yule dogo wa PSG aliyesema Liverpool haitakuwa hata top 4 EPL.
Atabaki anatuangalia kwenye TV.
natamani sana ningetazama hiyo mechi ila uoga wangu umeniponza kweli nimeamini ukiwa liverpool fake confidence ina drop sana
Sent using Jamii Forums mobile app
sorry king ngwaba does it me that jurgen klopp and jordan henderson are not seeing these twitter posts?
niseme tu ukweli tangu tulipo draw na bavaria pale home mechi ya mwisho kuangalia ni ile ya everton baada ya hapo nimekosa amani kabisa kuifuatilia liverpool jana yenyewe nilivizia live score around saa saba ndio nikapatwa na mshtuko wa furaha kuona tumepindua matokeoIvi mkuu mshabiki wa Liverpool kweli unakosa kuangalia game yetu hata kama tunaelekea kupoteza?
Mkuu last season Man City alitupiga 5 na bado tukaangalia game mpaka 90' zikakamilika.
mshaanza tena..Usalama wenu ni porto wengine hakuna mnaye muweza
Pale unapotoka kuvuta bange chooniUsalama wenu ni porto wengine hakuna mnaye muweza