Kweli kabisa mkuumkuu, maombi ya "kifarisayo" huwa Mungu hawezi kuyapokea.
"farisayo" ni yule mtu ambaye hujiona yeye ni bora au anachokiamini ni sahihi kuliko mwingine. mathalani mtu kujiita "mwana "Liverpool halisi" anamaanisha kuna "Liverpool wasio halisi" upande wa pili - huu ni ufarisayo!
OK but hakuna haja ya kumwita majina.Kuna MWEHU hapo juu kaandika anaombea Captain Hendo aumie
Sasa huyu pia anajiita ni Liverpool na ana wenzake!
Shabiki maandazi kama huyu unamuitaje?
Fainali inaeza kuwa kati yaTunamtoa Bayern then tunamtaka Juve baada ya Hapo watupe City au UNT...Fainali na Barca
Sent using Jamii Forums mobile app
MwaNa Liver halisi leo sion ni wap utatokea ..Allianz Arena ni machinjioni..Wana Liverpool HALISI tukutane hapa muda wa game kuweka kinacho jiri ugenini!
Wana Liverpool halisi vijana wataingia kutetea jezi
Tuna imani Klopp kawatayarisha vyema vijana wake
Liverpool halisi tupo na Mungu
Mungu ibariki Liverpool leo Germany
Liverpool halisi tuzidi shikamana,ushindi wetu ni umoja
Kipindi yupo Dortmund kaibonda zaidi ya mara tatu hiyo Bayern hapo hapo unapopasema pagumu...MwaNa Liver halisi leo sion ni wap utatokea ..Allianz Arena ni machinjioni..
Klopp hana historia nzuri na ule uWAnja..
Sent using Jamii Forums mobile app
Juve wana winner players kama Ronaldo. Liverpool pamoja na kuwa na talents mnamkosa MTU wa namna hii. Mtu ambaye anaweza kuwasaidia kubeba ubingwa hasa nyakati ambazo mnakuwa na pressure kubwa. Salah, Mane Firminho, Fabinho, Handerson, Keita, Gini, VvD, Alison, TAA, Robertson....are talents but can't win you a major trophy.
So mnahitaji nguvu ya ziada kumnock out mtu wenye watu aina ya Muller, Lewandoski na Boateng ambao wanajua how to win especially when it comes to these stages.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unavizia timu ikishinda ndio unatuandikia articles zako humu
Baada ya mechi ya leo leo usiku tutajua. Ila jua kuna factors nyingine siyo hiyo tu. Kuna vitu kamaHii ni Concept mbovu kabisa ambayo inayoka kwa Washabiki wa Chelsea tu wala haikuwahi Kuwa proved right kwani haina Backup yoyote.
Nitajie Kikosi Cha Liverpool kilichobeba CL mwaka 2005 winner player wa hayo Makombe Makubwa ni nani?
Dudek?
Carragher?
Hypia?
Traore?
Gerrard?
Riise?
Haman?
Kewel?
Garcia?
Baros?
Alonso?
Je kati ya hao nani aliyewahi kubeba CL au EPL before?
Je, kikosi cha Mourinhocha FC PORTO knaniilichobeba CL 2003 nani aliyewahi kubeba hayo Makombe Makubwa kabla ya hapo?
Huyo wako na Chelsea wenzio ni uchambuzi uchwara munaotaka kuujengea concept uwe reality wakati ni just assumption tu!
Zungumzeni vitu vyenye Logic bhana musiwe munakurupuka tu hakuna uhusiano wa Mchezaji kuto kubeba Kombe awali na kubeba Kombe sasahivi.
Fainali inaeza kuwa kati ya
Buyern vs Juve
Juve vs Barca
Barca vs Man city
Izo ndio zenye na uhakika wa kuingia fainali..
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya mechi ya leo leo usiku tutajua. Ila jua kuna factors nyingine siyo hiyo tu. Kuna vitu kama
=>The quality of the opponent teams in the tournament.
=>The character and experience of a coach.
Lakini haiondoa umuhimu wa leadership katika dress room. Leader lazima awe/wajue winning ways. Ndo maana miaka yote 30 bado hamnyanyui kwapa. Na bado mna miaka mingine 58
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu nijibu tafauti na hiyo mifano miwili una mfano mwingine? Kuba vitu ni excepetions but such cases are very few. Ni sawa unaambia the states of most metals is solid except liquid.Lete hoja zinazoweza kubackup unachoongelea.
To a Mifano halisi tuyaone hapa!
2005
√ Je Benitez alikuwa World Class kocha ambaye alishashinda Makombe mengi hapo kabla?
√ Je AC Milan ya Kina KAKA, CRESPO, SHEVCHENKO, GATTUSO, PIRLO, MALDIN haikuwa na quality mbele ya Liverpool?
Huna points yoyote ya kuweza kuprove unachokidai..
Kufungwa kwa Liverpool leo hakujustify chochote kwa hicho unachokiclaim..
Hata tufungwe 10 - 0 bado utabakia hupo sahihi kwani hata Red Stars alishatufunga.
Pep anaombea Leo mfungwe
[emoji860] PEP BACKS BAYERN
Pep Guardiola hopes former club Bayern Munich beat Liverpool and join Manchester City in the Champions League quarter-finals: Pep Guardiola wants Bayern Munich to beat Liverpool in Champions League Sky Sports Premier League on Twitter
Sent using Jamii Forums mobile app
Uache dharau wew. Unajifanya kuisahau Man U...endeleaFainali inaeza kuwa kati ya
Buyern vs Juve
Juve vs Barca
Barca vs Man city
Izo ndio zenye na uhakika wa kuingia fainali..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu nijibu tafauti na hiyo mifano miwili una mfano mwingine? Kuba vitu ni excepetions but such cases are very few. Ni sawa unaambia the states of most metals is solid except liquid.
Sent using Jamii Forums mobile app