interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,411
Tayari kazi shila huko mkuu Semion ako na hasira na CR7 ile mbaya kamfanyia ya usiku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unavizia timu ikishinda ndio unatuandikia articles zako humuJuve wana winner players kama Ronaldo. Liverpool pamoja na kuwa na talents mnamkosa MTU wa namna hii. Mtu ambaye anaweza kuwasaidia kubeba ubingwa hasa nyakati ambazo mnakuwa na pressure kubwa. Salah, Mane Firminho, Fabinho, Handerson, Keita, Gini, VvD, Alison, TAA, Robertson....are talents but can't win you a major trophy.
So mnahitaji nguvu ya ziada kumnock out mtu wenye watu aina ya Muller, Lewandoski na Boateng ambao wanajua how to win especially when it comes to these stages.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unavizia timu ikishinda ndio unatuandikia articles zako humu
Tatizo wee Arsenal ni tia maji tu ..unaeza pigwa next game kizembe alafu wababe wa england tukashinda za kutosha tu..Naitaka nafas ya 3
Mnautaka ubingwa ,mpigeni Chelsea na Tottenham
Japo kila MTU ashinde mechi zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu zangu mashabiki wa Liverpool leo mjiandae Rasmi kuiaga michuano ya Usiku wa Ulaya Ahsante kwa kushiriki
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe najua man u lazima umng'ang'anie , hivo kazana uchukue nafas ya 4Tatizo wee Arsenal ni tia maji tu ..unaeza pigwa next game kizembe alafu wababe wa england tukashinda za kutosha tu..
Kweny izo gem mbili liver lazima ata drop point
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida moja kila ukiombea wewe team inafungwa, siku ukiwa kimya tunashinda, [emoji3],Wana Liverpool HALISI tukutane hapa muda wa game kuweka kinacho jiri ugenini!
Wana Liverpool halisi vijana wataingia kutetea jezi
Tuna imani Klopp kawatayarisha vyema vijana wake
Liverpool halisi tupo na Mungu
Mungu ibariki Liverpool leo Germany
Liverpool halisi tuzidi shikamana,ushindi wetu ni umoja
Tupo liverpool halisi kukuunga mkono good luck Mr LiverpoolWana Liverpool HALISI tukutane hapa muda wa game kuweka kinacho jiri ugenini!
Wana Liverpool halisi vijana wataingia kutetea jezi
Tuna imani Klopp kawatayarisha vyema vijana wake
Liverpool halisi tupo na Mungu
Mungu ibariki Liverpool leo Germany
Liverpool halisi tuzidi shikamana,ushindi wetu ni umoja
mkuu, maombi ya "kifarisayo" huwa Mungu hawezi kuyapokea.Shida moja kila ukiombea wewe team inafungwa, siku ukiwa kimya tunashinda, [emoji3],
Anyway, leo tutashinda, droo ya moja moja au matuta
Sent using Jamii Forums mobile app
United hafik mbali mkuu, kama umefatilia mpira wake dhid ya PSG,Tunamtoa Bayern then tunamtaka Juve baada ya Hapo watupe City au UNT...Fainali na Barca
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmhh Kama ikitokea tumemtoa bayern,,mkuu juve hii ya Ronaldo sio ya kuomba kukutana nayo kabla ya fainali...mara Mia tatu hao Barca wa Sasa hivi...Hawa waitali wanakua na roho za kikatili Sana kipindi hiki Cha michuano Bora ukutane nao fainali tu!!!!Tunamtoa Bayern then tunamtaka Juve baada ya Hapo watupe City au UNT...Fainali na Barca
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna MWEHU hapo juu kaandika anaombea Captain Hendo aumiemkuu, maombi ya "kifarisayo" huwa Mungu hawezi kuyapokea.
"farisayo" ni yule mtu ambaye hujiona yeye ni bora au anachokiamini ni sahihi kuliko mwingine. mathalani mtu kujiita "mwana "Liverpool halisi" anamaanisha kuna "Liverpool wasio halisi" upande wa pili - huu ni ufarisayo!
Tunamtoa Bayern then tunamtaka Juve baada ya Hapo watupe City au UNT...Fainali na Barca
Sent using Jamii Forums mobile app