Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Its a free platform my man

Been called every sort of names kwa kushare my opinions on this platforms man, haijawahi kuwa rahisi man

But, nilichojifunza kwenye hii thread ni kujaribu kuwa na limitation ya opinions, maana kuna watu wa aina tofauti sana kwenye hizi platforms.

Cha msingi ni kujaribu kuwa reasonable kwa kile tunachojaribu kukitetea.
 
An huo ndio ukweli mkuu...tunamsema mchezaji ili abadilike Sasa mtu anàtaka tuseme abavyotaka yeye tu ushawahi kuona wapi!!!?
Mchezaji wetu anaharibu tusiseme eti waseme mashabiki wa timu pinzani jaah ni ushabiki wa wapi!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupoteza kwa man u leo is sounding like a gud news to us, their next fixture is against man city mechi ambayo sidhani kama OGS atakubali kupoteza kirahisi rahisi. The way to the top of the league is loading hahaha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…