OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Kwaiyo Saiv kila gemu City anayoshinda ni amepewa tu..naona Watford wameamua kuwapa points za dezo ManCity kwa kupanga weakened line up.
shubamit!!
Au City leo alicheza na mtiba shugwa nini..
EPL sio VPL..
Sent using Jamii Forums mobile app