Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

In the mean time...Chelsea say they are "astonished" after FIFA denied a request to freeze the club's two-transfer-window ban during an appeal.

Chelsea were banned from registering new players until the summer of 2020 for allegedly breaking rules on the signings of minors from abroad.

Ollochugga Oc, Southern Highland, Kimaro mna hali ngumu tuedako
 
Bana with Klopp i wont be surprised vs Bavarians umuone Lallana uwanjani ndugu yangu..

to be frank i think Klopp wa Dortmund after losing his Mr Brain is going backwards..he has been wt this dead woods who add very little to th team since he joined..angewauza hata watatu anunue mmoja mwenye real impact sio bench warmer.

in terms of Club developing we are going in th right direction but if again tutaishia nafasi ya pili historia kwetu hua mbaya sana esp wt major players getting tired n departing hivyo tunaanza kujenga tena...bt as far as position we are he has done great great job kwa wachezaji wa kuunga unga compared to Citi..

n that defeat at Red start ddnt teach him anything abt team selection as u can see kwenye EPL bado anatwangusha..

without Allison magic hata hii last 16 tusingefika..he had th chance to wrap t at Red Start only for us to be humilated..

we are still in th race bt now t no longer in our hands we have to expect Citi to lose n we captilize n be ahead...hope mother luck is on our side.

Not saying we will win at Bayern, because i’ve already expressed my concerns kuhusu possibility kubwa ya kutolewa kutokana na record yetu ya away kwenye CL.

...And i wont be suprised at all kama tukitolewa.

But, main point is, being a LFC fan for a long time, nimeshuhudia highs and downs, nimeshuhudia bright days and Dark days, for any club in the world ni kuwa ilipo LFC sasa ni safe kusema kuwa ni “bright days”, for once since 2009, tumekuwa na consisitency kwenye top 4 kwa misimu mitatu mfululizo. We cant take that away from Klopp.

He’s a coward, lacking balls and so sturbbon, but we’ll be so stupid ku-ignore yale aliyoyafanya mpaka now at LFC.

Henderson/Lallana/Lovren and now Milner are his main setbacks, kama ataamua kuachana na hawa players atafanikiwa sana pale Liverpool.

I’ve said this and i will say it again, Klopp been working with Buvac tangu anaanza career yake ya ukocha, so losing him lazima kungeleta ukakasi kidogo kwenye managerial career yake, tumeona hilo kwa Mourinho and many other top coaches.

Will always criticise Klopp, because i want my club to win things, i will criticise him because he’s paid a lot of money kwa ajili ya kuiletea club trophies, but not even once in my life i’d want him to LEAVE this Club. Seen it with Houllier, seen with it Benitez, no way nahitaji kuona demise nyingine ya LFC baada top manager kuondoka.
 
kwa wanaomtetea wanasema he dropped deap where he control th rythm of th game...n make u wonder what rythm maana yeye yupo uwanjani like a headless chicken...

huyu ndogo ana nyota kali sana si utani..from Rodgers outcast na kuambiwa atafute timu to still be th CP is just luck while his output uwanjani is almost nothing in terms of critical passes or interceptions etc..

u wonder what does he play like mazoezini n be above Keita, Shaqir in team selection..only Klopp knows.

Henderson is lucky kwasababu he joined the club wakati tukiwa kwenye crisis/dark days.

He’s a british and somehow found himself in the starting line-ups kutoka kwa mediocre managers. Then got the captaincy, because the club didint want a non-british player to have the armband (at that time), so mpaka
Sasa kinachom-beba at LFC ni u-captain na u-british, because if you drop him in more than 2-3 games, you’ll need to answer questions.

Tuliona when he ignored Klopp at OT alivyokuwa subbed off, not only Klopp had Shaqiri, and thats not what a captain anatakiwa kufanya, but hakukuwa na coverage yoyote kutoka kwa medias/pundits/The sheep. But if that was Keita/Fabinho/Gini/Shaqiri/Mane/Salah/Firmino/Origi etc kungekuwa na backlash kubwa sana. But it was henderson, a british boy/white boy so it was painted as frastrations.

Taking nothing from SG, but in his early years at LFC alinguwa na anger issues but he was well protected by the media, because he was a white boy.

Same way Salah anavyokuwa attacked na medias/pundits kama aki-dive kuliko Harry Kane ambaye ni master wa ku-dive.

And black british players are treated the same way kama foreign players in the medias, because they’re just black.
 
Mane? Mane tunamuonaga anakosa mara ngapi nafasi alizobaki yeye na kipa! Salah ni bora sana kuliko Mane katika finishing wengi wanalijua hilo mpaka ikafikia watu wakamuweka daraja moja na Messi sababu ya makali yake kwenye finishing

Sema Mane anakuwa bora kuliko Salah sababu ana first touch nzuri kuliko Salah, pia Mane anauwezo mkubwa kwenye ku'hold on to the ball' kuliko Salah, anauwezo mkubwa wa kumiliki mpira kuliko Salah

Ile chance ya kwanza aliyopata Salah kwenye mechi ya mwisho versus Everton pale ilikuwa bahati lakini Salah alifanya alichojitahidi, mnaonanga kuhusiana na kukosa ile chance mnamuonea sana nasema

Kuhusu mido najua ukweli unaujua kuwa Messi mafanikio yale makubwa yamechangiwa na uwezo,kipaji na moyo wa Xavi Hernandez, huwezi kutaja mafanikio makubwa sana ya Messi katika miaka yake 10 ya mwanzo katika soka bila kumtaja Xavi Hernandez ukifanya hivyo huo ni uchoyo wa fadhila, point yangu hapa ni kuwa utakubaliana nami kuwa mafanikio ya Salah msimu uliopita yalichangiwa sana na viungo wabunifu na wenye uwezo na wasio wachoyo ambao hawapo msimu na hapa nawaongelea Alex-oxlade Chamberlain na Philippe Coutinho. Msimu huu Gini na Milner ndio wanachezeshwa nyuma ya Salah kwa hiyo naomba nikuulize Gini na Milner wamempa Salah Assist ngapi

Dude, bado hujamgundua huyo jamaa?

He’s targeting Salah ili kuficha ubovu wa tactics za Klopp (especially Vs Everton)

We created 2 chances vs The Ev, from a DM and a CB, CMs didnt create shit for 90 minutes, and he’s out here trying to tell us it was Salah’s fault we drew that game and justfying the subs of Milner and Lallana.

Stupid individual.
 
In the mean time...Chelsea say they are "astonished" after FIFA denied a request to freeze the club's two-transfer-window ban during an appeal.

Chelsea were banned from registering new players until the summer of 2020 for allegedly breaking rules on the signings of minors from abroad.

Ollochugga Oc, Southern Highland, Kimaro mna hali ngumu tuedako

They still have a good squad..

Will be tough for them if Hazard decides to leave though.
 
Dude, bado hujamgundua huyo jamaa?

He’s targeting Salah ili kuficha ubovu wa tactics za Klopp (especially Vs Everton)

We created 2 chances vs The Ev, from a DM and a CB, CMs didnt create shit for 90 minutes, and he’s out here trying to tell us it was Salah’s fault we drew that game and justfying the subs of Milner and Lallana.

Stupid individual.

Awful

If Salah was to blame and what about Hendo?
 
Kuna siku atamlaumu hata VVD ili tu kuficha ubovu wa tactics za Klopp au uwezo mdogo wa kiuchezaji wa Henderson..

B2B midfielder, hana Hata assist moja with 9 games to go.

And you have people defending him.

Dah kuna muda moyo wa ushabiki unaishiwa nguvu sababu ya mambo haya ya uzawa ambao hauna mantiki ila ubaguzi tu na support za uongo uongo kwa wachezaji ambao ni magarasa
 
Mane? Mane tunamuonaga anakosa mara ngapi nafasi alizobaki yeye na kipa! Salah ni bora sana kuliko Mane katika finishing wengi wanalijua hilo mpaka ikafikia watu wakamuweka daraja moja na Messi sababu ya makali yake kwenye finishing

Sema Mane anakuwa bora kuliko Salah sababu ana first touch nzuri kuliko Salah, pia Mane anauwezo mkubwa kwenye ku'hold on to the ball' kuliko Salah, anauwezo mkubwa wa kumiliki mpira kuliko Salah

Ile chance ya kwanza aliyopata Salah kwenye mechi ya mwisho versus Everton pale ilikuwa bahati lakini Salah alifanya alichojitahidi, mnaonanga kuhusiana na kukosa ile chance mnamuonea sana nasema

Kuhusu mido najua ukweli unaujua kuwa Messi mafanikio yale makubwa yamechangiwa na uwezo,kipaji na moyo wa Xavi Hernandez, huwezi kutaja mafanikio makubwa sana ya Messi katika miaka yake 10 ya mwanzo katika soka bila kumtaja Xavi Hernandez ukifanya hivyo huo ni uchoyo wa fadhila, point yangu hapa ni kuwa utakubaliana nami kuwa mafanikio ya Salah msimu uliopita yalichangiwa sana na viungo wabunifu na wenye uwezo na wasio wachoyo ambao hawapo msimu na hapa nawaongelea Alex-oxlade Chamberlain na Philippe Coutinho. Msimu huu Gini na Milner ndio wanachezeshwa nyuma ya Salah kwa hiyo naomba nikuulize Gini na Milner wamempa Salah Assist ngapi
Mhh!
Coutihno kaondoka January wkt Salah ana ba chache Liverpool
Salah kafunga bao nyingi mzunguko wa pili wkt Coutihno akiwa kaisha uzwa kwa kutumia mido hizi hizi!
OX alicheza mechi ngapi mwaka jana kabla hajaumia April?
Msimu unaanza OX hakucheza mpira alikuwa anaivishwa!
Xavi na Iniesta bado wapo Barca?Au Messi siku hizi hafungi sababu akina Iniesta hawapo?
Mkuu kuna kitu kinaitwa msimu mbaya,Salah kawa na msimu mbaya
Hata Messi au CR7 huwa inawakuta hii
Anakosa bao za wazi mno Salah
 
Salah hajaanza kukosa chances kipindi hiki infact on his best season alikuwa anakosa mno kuliko forward yoyote epl. Salah kinachomsaidia anapata chances mno ndio maana hata akikosa vip bado goli atapiga tu.
Salah was, is and will never be clinical.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Poa ndugu, kushabikia Liverpool lazima uwe na moyo wa plastic si bure aisee inauma sana asikwambie mtu... ubingwa unaunusa huu hapa unapointi 7 zaidi ya anaekufuata aafu kila mechi zinavyochezwa ndio pointi zinazidi kupunguzwa kutoka 7 mpaka kua wa pili...sasa ishu ni pale kwa jicho la ushabiki tunaona timu ina wachezaji wa kuleta nema kwetu ila wanaishia benchi bila hata majeruhi ni wazimaa kabisaaa...

wewe ni shahidi mlivyopata wale majeruhi vs us ilikua Klopp chap alete Shaqir na Keita ndani wapeleke mashambulizi mbele maama game plan ya Ole ilshavurugwo pale na injuries matokeo yake kumbe Klopp alikuja kutafuta draw na si ushindi...

Msimuu tumona Hendo akicheza beki RB unajiuliza Klopp alimtoa Cylne wa mkopo bila plan B..

Mili pia amecheza beki kwenda mbele kusaidia penetration yupo hovyooo

matokeo yake tumepata draw karibia 8 kwa kua na team selectiom ya hovyo kabisa utadhani tunapigania kuingia big four na sio sweet EPL..

hivyo mwana Kop mwenzangu King binafsi namwelewa maana tukilikosa awamu hii basi tutapoteana endapo wachezaji nyota wataodoka..ma bosi wetu nk wawekezaji wenye mahesabu makali sana kwenye kununua wachezaji..

unajiuliza Ole kafanikiwa vipi kwa wachezaji wa kungaunga kushinda mechi 14 tangu ateuliwi..Klopp anashindwa nini..

tuedako panaogopesha..

Point mkuu umeongea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom