Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,804
Roho ya PakaPut this into u r account
EPL au UCL mojani letu au yote mawili
Sent using Jamii Forums mobile app
Roho ya PakaPut this into u r account
EPL au UCL mojani letu au yote mawili
mkuu kwani si wanapambana UK...Mkuu na carabao cup? Acha utani
mkuu kwani si wanapambana UK...
hope Klopp can borrow same tactics from Ole...Sawa kaka
Best luck with Bayern, they are not good people when they are at their home
Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa la hiyo mido ni nn?
Salah anakosa mabao kama yale hata mido ziwe na uwezo utafanya nn?
Liverpool mwenye moto sasa ni Mane tu,wale wawili mbele hawapo sawa
Mido haijafanya kosa lolote
Fabihno na Wilj wana uhakika wa kuanza kati,sasa haya ya kama ni uzawa kati yanatoka wapi?
hamna nilimaanisha ndio kombe pekee ambayo hutajuwazidi locally ni Carabao tu au Carling au League cupKwamba tumeanza kulitolea macho
hamna nilimaanisha ndio kombe pekee ambayo hutajuwazidi locally ni Carabao tu au Carling au League cup
I see nothing is this thread but shits from the so called Manure Fanboys resurrected by OGS from their Tombs! Hope soon they will be back where they belong (6th position).
I see nothing is this thread but shits from the so called Manure Fanboys resurrected by OGS from their Tombs! Hope soon they will be back where they belong (6th position).
Jamaa ana hasira huyoCaptain Marvelous njoo umsaidie mwenzio huku muda si mrefu huyu atacheza na sumu ya panya au maji ya betri
Hahahahhahaha,What the fvcking snow has to do with our damn result? United's injuries? Wind? Next we will drop a points because of his wife's birthday
Poa ndugu, kushabikia Liverpool lazima uwe na moyo wa plastic si bure aisee inauma sana asikwambie mtu... ubingwa unaunusa huu hapa unapointi 7 zaidi ya anaekufuata aafu kila mechi zinavyochezwa ndio pointi zinazidi kupunguzwa kutoka 7 mpaka kua wa pili...sasa ishu ni pale kwa jicho la ushabiki tunaona timu ina wachezaji wa kuleta nema kwetu ila wanaishia benchi bila hata majeruhi ni wazimaa kabisaaa...Captain Marvelous njoo umsaidie mwenzio huku muda si mrefu huyu atacheza na sumu ya panya au maji ya betri
whats more worrying is that we are stuck with this dude till 2022...n t scary what he wil do by th tym he depart so far naona maumivu...I've lost 4kg of my Body weight since our first defeat (EPL vs City) due to stress caused by this team..
I'm die hard Fan of this team that is why I'm angry to see someone destroyed our hope with no reason but Hitler's pride flowing through his veins.