loosimingori
JF-Expert Member
- Oct 30, 2017
- 920
- 1,146
dude,last time we won the game so its better if you use swahili as per one hater!Silva tho not winning oftenly is serious trouble..
holding th ground n wait for th perfect moment n hammer em is th right attitude..
derbies r won by being patience waiting for an angels kiss to finish th job cool 3 points
Iwapo tutalikoroga msimu huu kwenye huu uzi basi ya 2008 na 2014 yatakuwa madogo kwenye huu Uzi...
Tutapata shida kutoka kwa Opponents wetu kwani wanavizia kwenye End point tu wajue what will happen!
Either we or them Amani itakosekana
Silva tho not winning oftenly is serious trouble..
holding th ground n wait for th perfect moment n hammer em is th right attitude..
derbies r won by being patience waiting for an angels kiss to finish th job cool 3 points
hii ligi bana raha sana, jana Citi kushinda mpaka penati ndio ujue lolote linaweza tokea kwa hizi gemu zilizobaki...If we beat Everton no one will catch us till the end of this cursed race..
Can't wait to see the Haters banned themselves from visiting this thread
sioni wa kimnunua kwa hali hio...ILA JAMANI HAPA DUNIANI KUNA VITUKO SANAAA
YULE KIPA WA LIVERPOOL, KWA SASA YUPO KULE UTURUKI KWENYE KLABU YA BESIKTAS....... SASA JUZI WAKACHEZA NA FENEBACHE, MPAKA MAPUMZIKO BESIKTAS WAPO MBELE KWA MABAO MATATU.......HADI FULL-TIME NGOMA IKASOMEKA 3-3.....HUYU NDIO LORIS KARIUS....
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]LIVERPOOL HAWATAKI HATA KUMSIKIAA......
Sent using Jamii Forums mobile app
ILA JAMANI HAPA DUNIANI KUNA VITUKO SANAAA
YULE KIPA WA LIVERPOOL, KWA SASA YUPO KULE UTURUKI KWENYE KLABU YA BESIKTAS....... SASA JUZI WAKACHEZA NA FENEBACHE, MPAKA MAPUMZIKO BESIKTAS WAPO MBELE KWA MABAO MATATU.......HADI FULL-TIME NGOMA IKASOMEKA 3-3.....HUYU NDIO LORIS KARIUS....
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]LIVERPOOL HAWATAKI HATA KUMSIKIAA......
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu it is obvious captain anaenda kuanza kwenye derby unless otherwise..hii ligi bana raha sana, jana Citi kushinda mpaka penati ndio ujue lolote linaweza tokea kwa hizi gemu zilizobaki...
hapa ni kuhakikisha hutuna draw mbali ni kujikusanyia pointi zetu 3 mpaka ligi inaisha..
jana pia tumepunguza goal diffrence ya Citi ambacho ni advantage endapo litakuja kuamuliwa kwa kwa tofauti ya magoli..
kwa mechi hii ya majirani sitegemei kingine zaidi ya ushindi japo Klopp akiamka na mguu wa kushoto na anaweza kutokoshesha ubingwa na wale ma Brexit wake ambao wasipokuwepo tunafanya vyema kuliko wakiwepo...
na pia Sala anahitaji kurudisha makali yake haraka iwezekanavyo maana zile cheche zake zimepoa sana...
Hivi wanacheza position sawa? kama jibu hapana! basi haifai kuwalinganisha pia.Mkuu sometimes Stats zinamislead!
DE BRUYNE ametoka injury mbaya zaidi na ya Muda mrefu ambayo mpaka sasa hajawa fiti ndiyomana akawa anacheza kwa kiwango duni.
Na sidhani kama ataweza kuwa fiti tena.
Kwahiyo Origi kumlinganisha na De Bruyne ni kumkosea heshima De Bruyne.
Umetumia nguvu nyingi kuandika kitu ambacho ungetumia mistari michache ungeeleweka zaidi...sitafuti umaarufu Wala chochote unachohisi ewew nilichoandika ndio mawazo yangu binafsi...Kuna tofauti kujua na kujifanya unajua.wewe unajifanya unajua ndio maana unaziona hizo weakness za huyo VVD,ambazo mm nisiejua chochote sijaziona na Wala siwezi kuzitafuta ili nikuaminishe kuwa najua kuchambua soka...Key Points za hii Post yako:
1 - IN KLOPP WE TRUS
2 - HUTUTOAMINI TUTAKACHOKIONA
3 - WACHAMBUZI WATUKANAJI WACHEZAJI
Nadhani unatatizo la kutokusoma watu wanachokiandika au Unatatizo la kutokufahamu Maadiko ya Watu, Au huenda ukawa una Tatizo la Kukariri mawazo ya Wengine bila ya Kuzalisha Mawazo ya Kwako.
√ Huenda ikawa unatafuta Umaarufu wa Kuwa Uonekani Kama Wewe ni Mshabiki Bora zaidi unayeumizwa na Unayeifahamu timu kuliko sisi sote humu.
Na tutakapokuuliza umeanza kuishabikia lini Liverpool basi kwasababu humu ni JF hatujuani utatuambia umeanza kuishabikia Liverpool mwaka 1984 na umri wako ni zaidi ya miaka 50+.
Lakini ukiulizwa kijiswali kidogo tu cha mchezaji wa Jana tu hapa Liverpool Christian Ziegi alikuwa akicheza namba ngapi Liverpool na Alikuwa akivaa jezi namba ngapi na alichezea Liverpool Misimu Mingapi utaishia kuniambia Liverpool Fake sijui Mpira.
Wakati ukweli halisi waweza jikuta umeanza Kuipenda Liverpool 2005 ilipobeba CL au sihasha umeipenda 2010+.
Leo eti unajiita Liverpool Halisi kisa tu kuna mtu kajiita hivyo! Kumbe Kukopia Hakukuanza Shuleni! Mpaka JF watu wanakopia mawazo ya Watu.
√ Na Jengine hiyo Kauli yako ya In Klopp We Trust naona unataka kujifanya Mwisho wa Msimu uwaprove watu Wrong Wakati Liverpool ni More than Klopp.
Sisi tunachotaka Liverpool ibebe Kombe na Wala si Klopp abebe Kombe.
Ufafanuzi: Mashabiki wa Liverpool hatuna asili ya Kuwa tubebe Kombe kwa ajili ya Kumpa sifa Kocha, Bali tunataka tubebe kombe kwa ajili ya kujenga Heshima kwa Merseysiders na Liverpoodlians wote in the World.
Kwahiyo wewe kama umekalia hapa Liverpool ibebe kombe ili imjengee heshima Klopp nadhani umekosea Jukwaa, Coz itakubidi Klopp akiondoka Liverpool nawewe umfuate.
Hapa hapana Mshabiki hata mmoja asiyetaka Kombe na Ndiyomana tunamkosoa Klopp kwasababu Kwa hali yoyote ile tunahitaji Kombe Msimu huu.
Sasa sijui unazungumza Kitu gani hapa ambacho unajiona unakiamini peke yako?
√ Mwisho; Nadhani hujui nini Maana ya Kutukuna, Na nini maana ya Kukosoa!
Hivi kuna timu ambayo Washabiki wake Hawakosoi Wachezaji?
Kuna Timu ambayo Washabiki Wake Hawamkosoi Kocha?
Hebu tuambie Kocha ambaye Hakosolowi hapa duniani?
Sasa tunapomkosoa Kocha Kwa Kumueka Bench TAA vs Man United unaona ni Matusi!
Tunapomkosoa Kocha Kwa Kumuingiza Sturridge vs Man Unite wakati kwenye Bench kuna Xhaqiri wewe ona ni matusi.
NAJUI UTAKUJA HIVI:
• Sijui lolote
• Nimeandika Pumba
• Nimetoa Povu
• Na mock nyengine nyingi..
Lakini Hebu Jaribu Kuandika Japo Post Moja Ya Kiuchambuzi ili Tujie Uwezo wako Wa Kimpira na sio Kila Siku unaishia Kusema "Hatutamini Tutakachokiona".
Hapa pana Wachambuzi wenye Kuleta Mawazo yao Kulingana na Mchezo Husika, Lakini Nyinyi muliokuwa Hamujui Hata Kuielezea/Kuichambua game ya Carabao au Championship ndiyo mumekuwa Eti Liverpool Halisi!!! Kwa uhalisi gani Mdogo wangu uliokuwanao?
Sasa Mzee wa Liverpool Halisi, VVD ni beki wetu bora kwa sasa na Ni Beki aliyetimia lakini ANA WEAKNESS FLANI hivi, Naomba unitajie hiyo Weakness, Utakapoitaja Naahidi Kuhama JF pamoja na Kuhama Liverpool leo hii...
Hapo ndiyo tutajua kama wewe ni Halisi na unayeifahamu Liverpool nje ndani
Kwa ufupi tu :Umetumia nguvu nyingi kuandika kitu ambacho ungetumia mistari michache ungeeleweka zaidi...sitafuti umaarufu Wala chochote unachohisi ewew nilichoandika ndio mawazo yangu binafsi...Kuna tofauti kujua na kujifanya unajua.wewe unajifanya unajua ndio maana unaziona hizo weakness za huyo VVD,ambazo mm nisiejua chochote sijaziona na Wala siwezi kuzitafuta ili nikuaminishe kuwa najua kuchambua soka...
Endelea na ujuaji wako mkuu na mm ntaendelea na ushabiki wangu wa Liverpool...
NB: naisupport Liverpool katika Hali zote kukusoa saaana ni kuwatoa wachezaji mchezoni ligi kubwa na yenye ushindani Kama epl hasa kipind Cha kuelekea mwisho was msimu huwa ni ngumu ukitaka kila siku upate matokeo unayotaka ewew tu na kubet kwako labda utengeneze ligi na timu zako ila sio kwa epl,an yes nampenda klopp maana kaleta mapinduz na timu imekuwa inaushindani ndani na nje an ofcos ntaumia akitoka ndio mawazo yangu hayo...
Sent using Jamii Forums mobile app
IN KLOPP WE TRUST,Kwa ufupi tu :
Klopp atakiwi kufukuzwa Liverpool iwe Kabeba ndoo au Hajabeba ..Labda aondoke mwenyewe "
Wanaoijua Liverpool Vizuri Wamenielewa.. Apewe Muda Tena.
Siku zote Liverpool hupotea kwenye mbio za ubingwa mwishoni kabisa
Ngoja tuone na mwaka huu itakuaje
Sent using Jamii Forums mobile app