Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuna Liverpool's Fans Claimed that Klopp hahitaji lawama kutokana na Wachezaji alionao tusimlinganishe na Pep wachezaji alionao! Bullshit..

Sasa mtu anashindwa kujiuliza hata kijiswali kidogo jamani "JE WALE WACHEZAJI PALE MAN CITY WAMEJIPELEKA WENYEWE AU WAMESAINIWA?"

Pep alipoona kuwa Luna wachezaji hawamfai kaamua kusajili kina "EDERSON, LAPORTE, STONES, MENDY, WALKER, GUANDOGUN, JESUS, B. SILVER, MAHREZ" ambao ndiyo waliomsaidia kumfikisha pale alipo.

Sasa aliyemtuma Klopp Kuwa Mwaka wa 4 huu abaki na kikosi hichi nani?

Hivi kula mechi kuibuka na ONE SHOT on Target ndiyo kalazimishwa kuwa lazima abakie na Striker Origi na Sturridge?

Basi tusubiri Mtu aje amtengezee Klopp timu kwa Kumnunulia wachezaji.
 
Eti Kocha anatafuta ushindi kwenye Must Win game kwa Kumuingiza Sturridge na Origi [emoji23] [emoji23][emoji23]

Kuna wale ambao wenye loser mentality wanakwbia Origi ni striker wa kuchezea Liverpool akatupa makombe eti kwa sababu kawafunga Everton!!!
 
ni kama vile Klopp ana claim matukio ya huko nyuma wakati wa kufanya sub...
usishangae Origi akaanza vs Neighbours
 
Watford is tricky opponent..am positive il grind a win in this fixture and being at home wt th fans pushing for a win.

Also Bobi might play seems th extent of his injury wasnt that dangerous..

wish even vs Neighbours wangekaa tu nje bana..

Last two games against Watford at Anfield, we won by 6 and 5 goals respectively.

Wont be a tough game at all.

Am not worried.
 
Last two games against Watford at Anfield, we won by 6 and 5 goals respectively.

Wont be a tough game at all.

Am not worried.
true i expect nothing less than a win today..

if we are to win this EPL no more drawa or lose..

n if Klopp is too shy to axe his CP from th startin line now he has th chance after that bust up by CP..

hope also today we go with 4 4 2 or 4 3 2 1 or 4 4 1 1 as Klopp call t but not that damn 4 3 3 again...
 
Tangu aseme Buvac ndo master plan wake nilishakata tamaa hatuna kocha

Akisha kariri fulani anacheza vyema namba fulani ndo basi plan b hana wale majeruhi wa man u wangetupata sisi tunge koga migoli hadi ubingwa tungesahau kama tuna hiyo nafasi
 
Tangu aseme Buvac ndo master plan wake nilishakata tamaa hatuna kocha

Akisha kariri fulani anacheza vyema namba fulani ndo basi plan b hana wale majeruhi wa man u wangetupata sisi tunge koga migoli hadi ubingwa tungesahau kama tuna hiyo nafasi
Kocha hajui afanye nini kimbinu ili amalize game kirahisi anaendeshwa kwa remote control, inatia uchungu sana game za kuwakatisha tamaa wanaotufukuzia ndo kwanza anawapa nguvu

kote hakufai
 


Sturridge anatusaliti

Auzwe tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…