Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Subiri leo kwenye Line-up uje uone Mido ya GINI-HENDO-MILNER Ndiyo utajuwa kuwa bado ADOLF HITLER Yupo hai na Anaishi katika Nafsi za Wajerumani.

Milner No ila Hendo in for 80%

Keita akianza anaweza kuwa chini ya kiwango au red ikamuhusu only if Herrera akiwepo leo
 
Milner No ila Hendo in for 80%

Keita akianza anaweza kuwa chini ya kiwango au red ikamuhusu only if Herrera akiwepo leo

Keita uwanjani hajifichi na anapampana hata kama hana game nzuri!

Lakini Hendo leo ataishia Kujificha Nyuma ya Pogba na Herrera kwa dakika zote 90
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…