Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sawa mi sibishi....mlisema hivyo hivyo kwa bayern, mechi ikalia droo, saiv mashaka yamewashika kila kona. Ubingwa tunaeza kosa mara bayern kama kwetu walikuja na mpango wa droo au kushinda, sasa kwao itakuaje....mwaka wa 31 unatafutwa..yan liveepool saiv ni vurugu tupu

Sawa Mkuu.

Muda utatupa jibu sahihi.
 
Eti lazima aingie robo! Kwa taarifa yako tu, Tukifungwa away game kutokana na dharau za Klopp.

Lakin kwa sasa hilo hatutaruhusu, 0-0 bila kuruhusu goli stil ni matokeo mazur sana kwetu, Msala unaamia kwao ambapo hata tukiwapiga goli moja tu basi lazima wafe. This is liverpool.
Weka mapenzi pembeni ukweli unaujua klopp alidharau mechi zenu tatu za away, kweli kocha wenu anayo madharau psg kakuweka, napoli, bregade kweli dharau acha kuniangusha mkuu nafasi uliyonayo kuchukua epl kubwa kuliko kuvuka ucl 16 round, uefa hii ukishinda kwako 2-1 experience inaonyesha 90 % out ije kuwa droo, nikumbushe nani alitoa sare home akapita, utaona gemu 20 utokea mara 1 ,ombeni itokee kwenu
 
Ndugu sijawai kusema Liverpool atafungwa anfield ni utamaduni wenu kushinda hapo hata wewe unajua ya kwamba ukiukosa ushindi anfiel hauwezi upata allianz wakati mwingine tuseme ukweli hata kama mchungu kwenye michuano hii ukitoka sare kwako unaelewa kushinda ugenini ni bahati

We are going there not to concede a goal, scoring goal is an added advantage.
But they are there to score a goal and at the sametime not to concede a goal.

Sasa you've to know nani atakuwa under pressure! Remember we'll have VVD at CB and Fabinho (the best CB yesterday) will be in front of him as a cover.

Keep dreaming while you are enjoying Europa games
 
Sawa mi sibishi....mlisema hivyo hivyo kwa bayern, mechi ikalia droo, saiv mashaka yamewashika kila kona. Ubingwa tunaeza kosa mara bayern kama kwetu walikuja na mpango wa droo au kushinda, sasa kwao itakuaje....mwaka wa 31 unatafutwa..yan liveepool saiv ni vurugu tupu
Usisahau pia ulipiga ramli Bayern anatufunga jana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka mapenzi pembeni ukweli unaujua klopp alidharau mechi zenu tatu za away, kweli kocha wenu anayo madharau psg kakuweka, napoli, bregade kweli dharau acha kuniangusha mkuu nafasi uliyonayo kuchukua epl kubwa kuliko kuvuka ucl 16 round, uefa hii ukishinda kwako 2-1 experience inaonyesha 90 % out ije kuwa droo, nikumbushe nani alitoa sare home akapita, utaona gemu 20 utokea mara 1 ,ombeni itokee kwenu

2007 Chelsea alitoa Draw uwanja wa Nyumbani zidi ya Valencia, Akashinda Away zidi ya Valencia akasonga mbele.

2018 Juventus alitoa draw uwanja wa Nyumbani zidi ya Spurs, Akashinda Away zidi ya Spurs akasonga mbele.

Refresh you memory to see more results like these..

Keep dreaming
 
Na mnaenda kwao Bayern sasa. Na hamfuzu round inayofata mana hiyo mech lazima mpigwe tuu..hata kwa penalt mtatoka. Pona yenu ni muandike barua Uefa kua hiyo mech ifutwe kuepuka fedheha mana la sivyo, ni mengine tutaongea. Ardhi ya bayern ni ardhi ya Hitler, kuua ua tu ndy wanawaza
Usisahau pia ulipiga ramli Bayern anatufunga jana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlipofungwa gemu tatu zote za ucl majina majina unayonitajia hayakuwepo?wakati mwingine mshukuru mnacheza na buyern imejaa injuries kama wote unapiga on target 1 na wao 1 , Muller, boating, goretzka, tolisso, Ruben hawapo ntakukumbusha wakati nafurahia europa maana ntaendelea wewe unabaki hakuna namna, buyern will be under pressure, what manner of miserable pressure this people have never experienced? Neur,Alaba,Tiago,martinez,ribery,hummels, lewando. Kwangu nimefunga mjadala tutaonana after second leg mimi na wewe nani ataonekana mkweli.Mara zote tukijibizana unajua mimi na wewe nani atakaa.
We are going there not to concede a goal, scoring goal is an added advantage.
But they are there to score a goal and at the sametime not to concede a goal.

Sasa you've to know nani atakuwa under pressure! Remember we'll have VVD at CB and Fabinho (the best CB yesterday) will be in front of him as a cover.

Keep dreaming while you are enjoying Europa games
 
Am used to these "ramlis". Kuongea mengine ni kawaida yako Kama ambavyo Leo unaongea Mengine tofauti na uliyoongea Jana Ko hata sikuhyo itakua hvohvo
Af lazima muhindi kakupiga tu Jana
Na mnaenda kwao Bayern sasa. Na hamfuzu round inayofata mana hiyo mech lazima mpigwe tuu..hata kwa penalt mtatoka. Pona yenu ni muandike barua Uefa kua hiyo mech ifutwe kuepuka fedheha mana la sivyo, ni mengine tutaongea. Ardhi ya bayern ni ardhi ya Hitler, kuua ua tu ndy wanawaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2007 Chelsea alitoa Draw uwanja wa Nyumbani zidi ya Valencia, Akashinda Away zidi ya Valencia akasonga mbele.

2018 Juventus alitoa draw uwanja wa Nyumbani zidi ya Spurs, Akashinda Away zidi ya Spurs akasonga mbele.

Refresh you memory to see more results like these..

Keep dreaming
Kuna tofauti kubwa kati ya memories na moments.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hello folks..

just back from a week long JF ban - some idiot provoked me and I lost it and eventually got myself "jailed"!

so am still catching up on a backlog of a whole bunch of posts that have flooded here since.

back to LFC vs Bayern...

on a night Hendo is our MOTM speaks volumes of how our overall performance panned out. average.

no disrespect to Hendo though because I think he can be good at what he does best.

Salah's inconsistency hasn't reached an alarming state yet but it smacks a massive worry at this crucial stage of the season.

generally speaking, I think Klopp has to slightly tweak our approach to games especially when teams become too defensive against us. kujaribu kuzipita such backlines with penetration balls in the middle can not be always effective.

take Pep for example..... he mostly applies the strenght he has at the flanks to break down deep sitting opponents - the havoc the City wingers cause on the wings tends to pull the opposition's CBs out of position creating spaces which get exploited by the marauding CMs who can score or switch plays in a flash!

in Mane & Salah we have equally strong weapons on the flanks who can to do the same or even better because of the unparalleled Bobby's pressing ability in the middle.

Klopp just needs a proper cocktail of the two tactics - not stick with only one.

HAHAHAHAHAHA pole chief.

Trolls wanaongezeka kila siku kwenye hizi platforms kwasababu tools za ku-access internet zinazidi kuwa cheap kila siku.

Man, Henderson played well kwasababu ya set-up aliyokuja nayo Kovac, same na ile set-up ya Tuchel at Anfield, Hendo had a lot of space to exploit in the middle, because both Bayern and PSG had no defensive mechanism in the MF, so kwa mchezaji ambaye his main attributes ni pressing and running down the ground, ni rahisi kuwa na game nzuri akiachiwa space kubwa mbele yake. Kovac was forced to come out with mid-3 of Martinez/Thiago/James, wachezaji ambao defensive game yao ni poor, Martinez was holding the MF alone in a 3, and we all know he's not that good in impacting defensive transitions, bad enough he had Thiago and James infront of him, ambao ni attacking minded players, ni sawa na Klopp a-deploy mid-3 ya Hendo/Keita/Shaqiri, any professional MF lazima atacheza vizuri against this Midfield, because its too open and consists of two 2nd phase players ambao attribute ya kukaba ni very minor kwao.

LFC fans on here have to keep it in their minds kuwa, Bayern had two of its important MFs out with injuries (Goretzka and Tolisso), Boateng and especially Robben hawakuwepo kwasababu ya injuries, hence Gnabry started y'day, Luckly Mueller was suspended for both ties. so kama kwenye 2nd tie Tolisso/Goretzka/Robben/Boateng watakuwa fit, then approach ya game itakuwa tofauti sana, na this is why Kovac decided to set-up his team for a draw at Anfield, because he knew it for a fact that kuja na kushambulia at Anfield ingekuwa ni suicidal kulingana na Midfield aliyokuwa nayo, unaweza kuona jinsi Kimmich and Alaba walivyokuwa relaxed y'day, these two are bayern's most creative players kwenye flanks, but y'day they spent most of their time trying to mark Salah and Mane from reaching the Bayern box.

Then, i think Bayern were so good defensively considering holes za kwenye kikosi chao kilichoanza, but we could've scored 1-2 goals in the first half kama our final third play ingekuwa more clinical (especially Mane), Bayern got away with murder in the first half, but in the 2nd half walikuja wakiwa wamejipanga vizuri and managed to frustrate us until the end.

That second half display, especially kwenye upande wa attack, is why i think Timo werner is a MUST.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom