Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa Team hii iliyofungwa mechi zote za uefa away, hata kwa Red bregade hamkupata sare, cha msingi mkazanie epl buyern hatolewi 16 ,wote tunajua lazima waingie robo, nusu ni culture yap. Nasepa mambo mengi mda sasa.......

Nadhani mumesahau kuwa hata jana mulisema Liverpool lazima afe...
 
Eti lazima aingie robo! Kwa taarifa yako tu, Tukifungwa away game kutokana na dharau za Klopp.

Lakin kwa sasa hilo hatutaruhusu, 0-0 bila kuruhusu goli stil ni matokeo mazur sana kwetu, Msala unaamia kwao ambapo hata tukiwapiga goli moja tu basi lazima wafe. This is liverpool.
 
UEFA wenyewe wamemkubal Keita kama "Skills of the day".
Mi na wewe ni nani hadi tukatae? Kwa sasa Keita kajihakikishia namba pale kati, Tukutane OT Jumapili.
 
Attachments

Ahahaaah...
Kuna comment yako nilishawahi kuiona kwenye uzi fulani hivi ukitamba ya kuwa msimu huu Liverpool anabeba makombe matatu,yaani ukimaanisha EPL,FA na UEFA..!
Omba(sali) sana chief,usisahau na kufunga pia,coz ulichokisema kinaelekea kuwa kinyume na ulichomaanisha..!
Ahahaaah,hiyo May ifike tu aisee,tuna makaburi mengi sana ya kufukua humu..!
 
Yaani hiyo game nimejiweka kwenye mode ya kuomba droo, ingawa tunaweza kushinda lakini sitaki kujipa hype kabisa.

Sasa hivi kila game ya EPL naiogopa.
Kiongozi,wewe haujuagi kabisa kuchanganya hisia zako na facts..!
Ni kitu kigumu sana kukiona kwa mashabiki wa timu mbalimbali humu JF..!
Wengi wetu humu JF huwa tunafanya hisia zetu kuwa facts..!
 
Keita & Henderson were so good in the middle.

Gini was out of the game..poor display from him this season.
hello folks..

just back from a week long JF ban - some idiot provoked me and I lost it and eventually got myself "jailed"!

so am still catching up on a backlog of a whole bunch of posts that have flooded here since.

back to LFC vs Bayern...

on a night Hendo is our MOTM speaks volumes of how our overall performance panned out. average.

no disrespect to Hendo though because I think he can be good at what he does best.

Salah's inconsistency hasn't reached an alarming state yet but it smacks a massive worry at this crucial stage of the season.

generally speaking, I think Klopp has to slightly tweak our approach to games especially when teams become too defensive against us. kujaribu kuzipita such backlines with penetration balls in the middle can not be always effective.

take Pep for example..... he mostly applies the strenght he has at the flanks to break down deep sitting opponents - the havoc the City wingers cause on the wings tends to pull the opposition's CBs out of position creating spaces which get exploited by the marauding CMs who can score or switch plays in a flash!

in Mane & Salah we have equally strong weapons on the flanks who can to do the same or even better because of the unparalleled Bobby's pressing ability in the middle.

Klopp just needs a proper cocktail of the two tactics - not stick with only one.
 
Kiongozi,wewe haujuagi kabisa kuchanganya hisia zako na facts..!
Ni kitu kigumu sana kukiona kwa mashabiki wa timu mbalimbali humu JF..!
Wengi wetu humu JF huwa tunafanya hisia zetu kuwa facts..!

Kama mshabiki kuna muda hisia lazima zikuchukue, ila uhalisia ni kitu muhimu sana kwa sababu inakuweka katika nafasi ya kukupunguzia machungu unapofungwa na timu bora zaidi yako.

Kuna vitu viko wazi, huhitaji nguvu kujua kwamba tunaongoza ligi kwa sababu za kibahati na si uwezo.

Kwangu mimi Man City ni the best EPL msimu huu, iko well balanced kila idara, kilichowakuta majeruhi ya KDB na Fernandinho ilikuwa bahati sana na tuliitumia vizuri December.

Man Utd ugomvi wa wachezaji na kocha ni bahati nyingine kwetu ilikuwa, naamini kama wangeanza na morale hii tungekuwa nao level.

The same to Chelsea, kocha kaja na mbinu mpya, watu wameisoma, kashindwa kubadilika, imeua morale kwa wachezaji sasa hivi wanapigwa tu, hiyo ni bahati nyingine pia kwetu.

Tottenham tumeachana nao points 5 tu, nao majeruhi ya key players yanawatesa, otherwise walikuwa na kikosi ambacho kina weight nzuri pia.

Liverpool tulifanya upgrade kwa VVD na Allison, partnership ya Gomez na VVD ilikuwa ni combination bora mimi kuwahi kuiona kwa beki zetu kwa zaidi ya miaka 10, bahati mbaya Gomez ni pancha mkononi.

You can see last year we had a very spectacular forward line, ilifunga magoli mengi sana, shida ilikuwa defense, this time defense imekuwa upgraded forwards hazifanyi yale ya msimu uliopita.

Now, majeruhi yameathiri defense, wafungaji wetu wameendelea kuwa butu, matokeo yake droo zimekuwa nyingi sana, unaweza kuona sasa hivi hata cleansheets hatuzisemi humu kama kipindi Gomez akiwa mzima.

Hali ilivyo sasa hivi hainipi amani kudhani eti nitashinda kirahisi game kubwa kama ya Man Utd, wakati Leicester na Westham wamenishinda, Crystal Palace anapata 3 goals.
 
Ulivyoongelea tu vizuri kuhusu Man U basi hii post yako ni nzuri....ni kati ya post moja nzuri sana......yan ulivyoongelea tu Man U, bas big Up sana...

Ndugu sijawai kusema Liverpool atafungwa anfield ni utamaduni wenu kushinda hapo hata wewe unajua ya kwamba ukiukosa ushindi anfiel hauwezi upata allianz wakati mwingine tuseme ukweli hata kama mchungu kwenye michuano hii ukitoka sare kwako unaelewa kushinda ugenini ni bahati
 
Walikuja kutafuta draw na wamepata, Ngoja muende Allianz Arena ndo utamjua who’s Ndowski

Sent from my iPhone using JamiiForums

Kwahiyo ni Game Plan ya Kocha Kumkataza asipige On Target hata moja au?

Na yule Gnabry aliyekuwa anasumbua yeye hakuambiwa kuwa atafute draw au?

Jefunzeni mpira jamani musiiaibishe JF.
 
Hahaha, nyie tutawaziba mdomo tu.
Sawa mi sibishi....mlisema hivyo hivyo kwa bayern, mechi ikalia droo, saiv mashaka yamewashika kila kona. Ubingwa tunaeza kosa mara bayern kama kwetu walikuja na mpango wa droo au kushinda, sasa kwao itakuaje....mwaka wa 31 unatafutwa..yan liveepool saiv ni vurugu tupu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom