Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

I dont know about you guys..

But, we havent been so good away at home kwenye CL this season.

And, we will be away at Bayern ambao watahitaji goal moja tu ili kupita.

Hopes should be there in football, but sometimes reality matters the most.

I’m not a believer of the words “mpira hautabiriki” because football is and will always be a sport of chances, fail to take your chances and you’ll be punished.

We’ve a very tough game at Bayern, they’re not Porto, Roma, Napoli or PSG, ni big club yenye experiance kubwa sana. So no need kujipa false hopes now, instead, just wait mpaka siku ya game and iangalie kwa kufurahia what the players watakacholeta uwanjani mpaka mwisho. If we win then celebrate, if we lose then reflect on todays game and move on. thats football.
You have said.but others never believe the message. I agree with you.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
draw ya bila bila sio mbaya kabisa na mimi naamini kabisa uwezo wa kupata goal uko sana tu, approach yetu tukienda ibadilike na uwezo upo. kwa muda mrefu nimeona jana sign za Keita kuja kutulia vizuri jana ni moja ya game nzuri kacheza kwa kweli. kama wao wameweza kuja kwetu na kudraw sisi tushindwe kwa lipi? japokuwa mimi EPL ni muhimu zaidi mwaka huu na mechi muhimu na kubwa ni Jumapili itaamua season yetu kwa kweli ni lazima twende after Man u attacking tu naichukulia kama Final. Bayern team kubwa lakini hawatishi kihivyo.
 
Game ya jana hesabuni mmeshatoka. Kazi iliyopo sasa ni kulipa fadhila ambazo city alimfanyia united mana alimsaidia kwa chelsea na Arsenal. Kazi kwa united sasa. Fadhila hiyo inatolewa jumapili.
 
draw ya bila bila sio mbaya kabisa na mimi naamini kabisa uwezo wa kupata goal uko sana tu, approach yetu tukienda ibadilike na uwezo upo. kwa muda mrefu nimeona jana sign za Keita kuja kutulia vizuri jana ni moja ya game nzuri kacheza kwa kweli. kama wao wameweza kuja kwetu na kudraw sisi tushindwe kwa lipi? japokuwa mimi EPL ni muhimu zaidi mwaka huu na mechi muhimu na kubwa ni Jumapili itaamua season yetu kwa kweli ni lazima twende after Man u attacking tu naichukulia kama Final. Bayern team kubwa lakini hawatishi kihivyo.
True. Jpili is a tough tie ever.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio alliance arena sawa, lakini Allianz Arena ya kawaida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Team hii iliyofungwa mechi zote za uefa away, hata kwa Red bregade hamkupata sare, cha msingi mkazanie epl buyern hatolewi 16 ,wote tunajua lazima waingie robo, nusu ni culture yap. Nasepa mambo mengi mda sasa.......
 
Eti LAZIMA waingie robo fainali, bila shaka ulijua na jana LAZIMA watufunge,
Hizo LAZIMA na taka unazotaka kwenye mpira hazipo..
Au tuambie bac Ni team zipi LAZIMA zisonge mbele, na nan LAZIMA awe Bingwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom