Camp ya Marbella angalau ina tija kwa team kwasababu ni zone moja hali ya hewa inakua haiko tofauti sana japo Spain ni warmer zaidi ya UK ila huwezi kufananisha na Dubai.

Good news ni kujumuishwa kwa Brewster na Ox katika trip.
Aaa sounds like a place to stratergize how we sail in th next two important games.....

Klopp need to come up wt solid plan to sustain Bavarians n hammer Manure...

Vs Cherries when Keita n Gini were heading forward Fabi ws sweeping any danger behind, if that can be improvised then t will be the solid link to beat Bavarians n Manure...
 

Tatizo lako unaongelea zilipendwa enzi za wakina Fergu, hivi Liver ya sasa we unaijua au unaisikia kwa watu.

Subir tuje hapo OT tutakuonesha kuwa ubingwa huu tuliousotea kwa miaka 29 tunauhitaji sana, Hatuwez kurisk kudrop hata point moja tena. Mechi hiyo ndo itaamua ubingwa kwetu na usidhan Klopp atawachekea, Mtaenda kupokea kipondo cha mbwa mwizi na harakat zenu za kuwania kurudi UEFA zitakuwa zimeishia hapo.
 
ni sahihi ndugu, ishu ni kwamba kwa namna mbio zilivyonoga kukumbali kufungwa sasa basi hata hio April tutakua tumepotoea...

Hivyo ni bora kupambana ushindi mwanzo mwishoo..

Mwenzako hajui mechi hiyo kwetu ni fainali, nani atakubali kudrop point ili City awe on top permanent hahah yani manure wanavyojifariji unaweza cheka.
 
Kwa migoli yako ya Offside ndo uchukue ubingwa, labda muuibe

Sent using Jamii Forums mobile app
ndio sasa mmehamia kwenye magoli ya offside...

bila VAR pale UK sio sisi pekee tuliopata hayo magoli na timu nyingi tu...

Timu nyingi zimenyimwa pia penati kwa ishu ya kukosa VAR,..

Pazuri msimu ujao VAR ipo na ikitumika vyema naamini hizi propaganda hazitakuwepo...

Nyie endeleeni kutumbeza, Ubingwa unatua Anfield msim huu.
 
Mwenzako hajui mechi hiyo kwetu ni fainali, nani atakubali kudrop point ili City awe on top permanent hahah yani manure wanavyojifariji unaweza cheka.
Nakwambia ndugu mbona ni kituko eti nao wamo kwenye mbio za ubingwa msimu huu baada ya kuingia top four.

Leo wazimwe na Parsians ndio watatoka kwenye ulimwengu wa ndoto.
 
Nakuwekea, screen shot ,halafu utaniambia ni miaka ya Ferguson au baada ya Ferguson! Nambie hiyo ni miaka kipindi cha Ferguson? Sitaki tantalila nataka majibu na facts kama navyokujubu Mimi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii man utd akiwa anfield ...! Uwe unaongea na reference ! Najua hata assignment huwa zinajibiwa hivyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenzako hajui mechi hiyo kwetu ni fainali, nani atakubali kudrop point ili City awe on top permanent hahah yani manure wanavyojifariji unaweza cheka.
Akuna timu inayofungwa kwa kutqka .hata juzi Chelsea alifungwa wakati naye alikuwa anahitaji points Tatu.ila naomba siku hiyo usikimbie kama mashabiki wa Chelsea na arsenal wanavyofanya.wewe endelea tu kunipa matumaini hewa wakati unajua kabisa kuwa hiyo mechi ni ngumu kwako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakwambia ndugu mbona ni kituko eti nao wamo kwenye mbio za ubingwa msimu huu baada ya kuingia top four.

Leo wazimwe na Parsians ndio watatoka kwenye ulimwengu wa ndoto.
Tatizo ni pale unapojipa matumaini hewa ya kushinda away katika big mechi.wakati msimu huu Liverpool katika mechi za top six sijajua kama mumeshinda mechi za away. Maana kwa kumbukumbu zangu ni
Man CTY away (lose)
Chelsea away (draw)
Arsenal away (draw)

Sasa sijajua hayo matumaini unayapata wapi

Hapa chini ni trend ya matokeo yenu mukiwa OT katika miaka ya karibuni. Na siyo kipindi cha Ferguson!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kwa man u, kwan wewe kunifunga FA ndio unaona umemaliza, maana siku zote huna mpira wowote zaid unategemea miujiza,

Kiuhalisia huna timu ya kumfunga liver, shukuru tu una upepo na unapata matokeo, lkn timu yako bado ,na kama huamin soon utaniambia ,

Usitambe kisa upepo ,epl ndio ipo hivo, labda uwe kwenye mbio za ubingwa

Wewe man u huwez kupata hata sare kwa liver, liver ana uhitaji na umuhimu wa hiyo mech kuliko wewe,

Ukimfunga liver au kupata sare najipiga ban ya mwez mzima,

Kwa asiyeangalia mpira akisikia mnavyoshinda anaweza kudhan sasa mna timu ya ushind, kumbe upepo tu, next week una upepo unageuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Arsenal mna guts za kuongea dhidi ya Man Utd??? This is joke

Sent using Jamii Forums mobile app
 

We unazungumzia Liver ya wakina Karius, nakwambia hivi subir tuje hapo OT ndo utaelewa kuwa sisi ndio majogoo wa jiji. Ubingwa tunautaka sana.

Liver ya sasa sio ya enzi zile. Ndomana mpaka sasa tumelose mechi moja tu ya Man City, hiyo ni alarm tosha kuwa we are unstoppable, tunakuja fearless kuwanyoosha na kubeba points zetu 3.
 

Hahahaha jifiche tu kwenye takwimu enzi za wakina Karius. Sahivi tunawatandika nyie kipigo heavy, it's serious hakuna mtu atakayekubal kupoteza ubingwa hapo OT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…