Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Alex Oxlade-Chamberlain named in Liverpool's Champions League squad
 

Attachments

  • IMG_20190205_204420_890.jpg
    24.2 KB · Views: 45
Most neutrals even in Uk are divided on whose season is this...
Those who are aganist th mighty Reds claim by winning this EPL 'tutawakalia kichwani'..n they are worried what il turn to be Anfield fortress if even now without a trophy t th most noisy n wt proper football atmosphere anyday of th week..

guys are worried th 80 era is reality if only th boys picks momentum in th right tym...n that feeling alone sends any neutral aganist us to b damn scared...

Mighty Reds here we goooo
 
Mzee wakujiteka upo,

Utakapocheza na man city, na siku mtakapokutana na manyumbu, ndio siku nitakapowaacha solemba wewe na manyumbu,

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Wewe una timu ya kupeleka uefa? Au unatafuta tu kiki kwamba arsenal nayo ipo uefa.!

Achana kabisa na mawazo ya uefa mkuu waza kujenga timu yako isiyo na beki wala viungo wanaoleweka.

Arsenal mutaenda kuaibisha EPL tu na London kwa ujumla..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni sahihi na kimbaya zaidi timu tunazokutana nazo watakopi na kupaste haya yaliyotutokea hizi mechi mbili...

Klopp na jopo lake wana nafasi ya wiki nzima kuliweka sawa hili swala na hatimae turudi kwenye ushindi...

Vs Bono sitegemei kuona haya makosa yakijirudia tena...

Keita anafaa akalishwa chini aambiwe asiwe tempted sana kudribble kama anaona kati pamekua crowded otherwise balaa itamkuta...maana anakata stimu kimtindo kwa kuchelewesha pasi..

ukiodoa udhaifu wa kuziui faulo team ipo vzuri kwa hali tuliyonayo...
 
Mkuu Chuga, umepotea humu si kawaida yako...

Jpili huu mfupa alieshidwa Dully na Aroon ebu watulize bana tupumue...

ukizembea Manure nafasi ya nne ya kwao hivyo piga kazi kazi
Huyo man u huwa anipi tabu yeyote kabisa. Najua ni wap atapotea..kwanza OT kama ilivyo Anfield, nitakuja kuchukua point zote sita napita nazo bila shaka yeyote.

Arsenal imeshajifia muda haina tofauti na QPR..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
at Bayern he had Lewodski, Piere n.k n were effective sana, sasa hapa sijui kwa nini anaona shinda kuleta a proper goal scorer wa 25+ goals...
 
Huyo man u huwa anipi tabu yeyote kabisa. Najua ni wap atapotea..kwanza OT kama ilivyo Anfield, nitakuja kuchukua point zote sita napita nazo bila shaka yeyote.

Arsenal imeshajifia muda haina tofauti na QPR..

Sent using Jamii Forums mobile app
Anza na Citi ndio tuelewane ndugu...

Anfield pointi sahau kuchukua kwanza Sari ataingia baridi mapemaa maana mashabiki watakua motooo balaa nakuhahakishia pale unaposikiaga "Anfield UCL night ni shindaa" tunahimishia sasa kwenye Ligi..

wewe piga wengine hapa usijihesambie pointi..
 
Ukipigwa unajipiga bani week.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ..umeona eeh ...akifungwa huyo haonekani kabisa..mbaya zaidi anajiaminisha kushinda mechi za away wakati anajua kabisa kuwa ni ngumu kupata point Tatu..kuja siku nilienda jukwaa la Chelsea nikawaambia kama mzaha kwamba wana nyakati ngumu kwani mechi zote za top 8 watamalizia away ukianzia Arsenal, man city ,man utd,Liverpool ,Everton na Leicester city..kasoro mechi yao ya Tottenham tu ndio watakuwa darajani.sasa kutokana na ratiba hiyo wa naweza kukuta wanapeteza points nyingi na kujikuta wapo hata chini ya arsenal ila wakawa wakaidi.sasa now arsenal wamewaprove wrong.. Na city anafuata mwisho wa siku anajikutq anajibiga ban ya wiki isiyo na sababu..ndio shida ya kujipa matumaini hewa wakati unajua mambo Ni magumu kwao .so mkuu mzoee tu siku si nyingi atakimbia tena jukwaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo man u huwa anipi tabu yeyote kabisa. Najua ni wap atapotea..kwanza OT kama ilivyo Anfield, nitakuja kuchukua point zote sita napita nazo bila shaka yeyote.

Arsenal imeshajifia muda haina tofauti na QPR..

Sent using Jamii Forums mobile app
We chalii unakimbiaga jukwaa mpaka watu tunapatwa na wasiwasi labda umejirestisha.
 
James Milner anasema...concerned about being top of the league in February? No, I’m happy!” he smiled.

“We are clear at the top of the league in February. There is a long way to go, a lot of games, tough games. We have just got to keep going.

“If someone said we’d be three points clear at this stage of the season you’d have taken it.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…