Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,505
- 7,465
Inauma sana kiukwel kikombe tunakipoteza hivihv kulikuwa kuna haja gan ya kumuuza clyne ilihal hatufanyi usajil wa mbadala wake na uhakika game ya united kama tutapata n point 1 tumebaki kusubir timu nyngne situsaidie kumtuliza city wakat ss wenyewe hatuonesh jtihada yeyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mipango mingine ya kocha wetu ni bangi bangi tu mwanaLFC mwenzangu
Kumpanga Lallana kwenye serious game kama hii ndio unaelewa management ipo katika hali gani

