OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,315
Nje ya uwanja gemu zote kwenye all competition wameshinda.I know nje ya uwanja mnashinda hata jana mlishinda kabla ya game lakini baadae wote tunajua. karibu pale kuna points 3, 1 & 0 uwezo wako ukijitahidi saana utapata 0 tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile gemu walishinda tu kwa sababu ya ukumbavu wa Mourihno. Ningeomba wa mpange tena uyo shaqir kwa gemu yao na nyie ..tuone kama ata fanya kama mwanzo.Shaqir alipopata goli za mbabatizo zile mbili against united wakafikir bonge la usajili toka buyern to inter kuna timu hapa ilishuka daraja then stoke city kwamba hawakuwa wakimuona? Ghafla liverpool.
Analindwa na mabeki tu wala hana uzuri wa kina De gea beki zimechoka zinapita tuAlisson has now conceded from 7 of the 11 shots on target he has faced in 2019 in the Premier League.
No 'Big Six' keeper has conceded more PL goals than him this year. [emoji102]
Mlikua mnataka Keita na mpemba Fabinho (hakuna mbrazil wa vile) waanze katikati Klopp kawasikia na kawaanzisha lakini bado mnateseka. Enyi mashabiki wa majogoo ni kipi bora kwenu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikajua ni mtazomo wangu tu.January 29 tulikuwa mbele kwa tofauti ya alama 9. Ile goals different kati yetu na city tukaipangua yote. Tukawa tupo kwenye righ track, leo nashangaa tupo alama 3 na goals diff tumezidiwa 5.
Tangu Klopp alipomwamisha Mo Salah na kumpanga pale mbele badala ya kutokea pembeni kulia amevuruga kabisa ile trio yetu ya Mane,Bob na Salah. Salah alikuwa akianzia pembeni alikuwa anapandisha timu. Kwa sasa anapangwa kama mshambuliaji anabaki kuwa mviziaji akisubiri pass za mwisho ili afunge.
Tuna 3 tough games mbele yetu. Against bounemouth, Bayern na United. Tusipobadilika tunaenda kuaibika. Kumbukeni city kila game wao wanacheza kama fainal. Matumaini ni madogo kwa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Senseless.Achana na Chelsea ..wewe ukikosa ubingwa msimu huu acha kushabikia mpira kabisa, maana utajakufa kwa kugongwa na gari au presha.
Huu msimu hautajirudia tena kwenu.
Pambanieni kombe ohoo City anawa zoom tu. Spurs apoo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja Sarri awape kombe.Achana na Chelsea ..wewe ukikosa ubingwa msimu huu acha kushabikia mpira kabisa, maana utajakufa kwa kugongwa na gari au presha.
Huu msimu hautajirudia tena kwenu.
Pambanieni kombe ohoo City anawa zoom tu. Spurs apoo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu inaonesha unaihofia sana mechi na Man United na Everton kuliko hata yenu na Chelsea na Arsenal, kwanini??
Sent using Jamii Forums mobile app
Klopp mzee wa DUBAI ovyo sana hili jamaaArsenal tumeshamalizana nae!
Chelsea ni Mchicha mwiba tu hana lolote.
Everton ni mjinga kujifanya analeta upinzani kwetu! Atamgaia Man City points 3 za burebure ikisha aje atukomalie sisi ili tusibebe ubingwa.
Man united anataka Top Four na ni Mpinzani wetu, Halafu kwa sasa yupo katika kiwango bora kuliko sisi kwa sasa.
Kwahiyo kwa Kocha asiye na mbinu kama Klopp, basi Man United wanaweza kutufunga kwa urahisi tu.
Hope against hope,you will walk alone while others are runningI am pretty sure we're going to be fine. These twists and turns are just temporary they won't last longer and everything will be settled in the near future.
I thought the Hammers could easily have done damage to our side ahead of our tittle race but still we're in a better place in this difficulty January.
We will soon get back to our winnings as a prove to our rivals that we are top of the league not coincidentally.
What we are seeing in this January is going to an end.
Hope our staffs and coaches are working on neutralizing the pressure and raising morale in our dressing room.
#YNWA
Unasemaje Man united yuko kwenye kiwango bora kuliko ninyi..? Kwani mumepungukiwa nini? Salah ci yupo? Mane ci yupo? Allison ci yupo? VVD ci yupo? Keita, Farbihno, Firmino, Anderson, Milner.. Wote ci wapo?Arsenal tumeshamalizana nae!
Chelsea ni Mchicha mwiba tu hana lolote.
Everton ni mjinga kujifanya analeta upinzani kwetu! Atamgaia Man City points 3 za burebure ikisha aje atukomalie sisi ili tusibebe ubingwa.
Man united anataka Top Four na ni Mpinzani wetu, Halafu kwa sasa yupo katika kiwango bora kuliko sisi kwa sasa.
Kwahiyo kwa Kocha asiye na mbinu kama Klopp, basi Man United wanaweza kutufunga kwa urahisi tu.
Na nyingine nyingi zinakuja.Lazima tujute hizi sare 2
Uyo analindwaga tu na mabeki wake. Ni moja ya kipa wa kawaida sana.Alisson has now conceded from 7 of the 11 shots on target he has faced in 2019 in the Premier League.
No 'Big Six' keeper has conceded more PL goals than him this year. [emoji102]
Kiongozi hizi vurugu zako tulizimiss baada ya game yenu na bournermoth,naona saiv mpo vzr hahaahaaUnasemaje Man united yuko kwenye kiwango bora kuliko ninyi..? Kwani mumepungukiwa nini? Salah ci yupo? Mane ci yupo? Allison ci yupo? VVD ci yupo? Keita, Farbihno, Firmino, Anderson, Milner.. Wote ci wapo?
Halafu Chelsea hujamfunga gemu ngapi mpka sasa? Acha unazi.
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisa. Nakumbuka ile comment yako ya mwaka 2009. Pengine na hii inaweza ikawa kweli..nmekuwa shabiki wa Liverpool miaka mingi sana.
niaminini, Liver hachukui kitu msimu huu.
nlisema hv 2009, na 2013.
narudia tena ile You'll Never Win Anything inaendelea.
ila kheri, Liverpool Till I Die.
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuamini hivyo hivyo. Ujanyimwa kuamini..Hata iwe vipi iwapo tutamalizana na Man United na Everton tukiwa tunaoongoza hata kwa point 1 tu basi bado naamini sisi ni Mabingwa Msimu huu
Sasa unapaniki nini chaliii ..jamaa kasema ukweli na hiyo comment yake 2009 naikumbuka kabisa..Mjinga sana huyo jamaa nilitaka kumtusi ila nikaona ban hii hapa mbele yangu nimemwacha tu na upuuzi wake