Papupi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,029
- 3,245
Kwa sababu kiungo kimepwaya. Anakuja kusaidia kusukuma mipira. Keita bure kabisaBobby leo anacheza chini sana
Lalana huyo dah. but msihofu kati mna masuperstar maestro wenyewe Keita na FabKwa sababu kiungo kimepwaya. Anakuja kusaidia kusukuma mipira. Keita bure kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana anachezeshwa out of position. but ni mchezaji mzuri sanaLallana is good ila anachoka haraka
Keita is becoming miserable
Kwani snow imeisha?Ha ha ha ni vichekesho hawa jamaa eti ndio wanataka kuchukua kombe, kwa mpira huu mnaocheza kama walevi, haya ngoja tuone. Westham piga kuku hao wanaoshangilia mabao ya offside.
Leo yuko kwenye pivot mkuu