Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
we are doomd guys, without Gomez, TAA we just but so done....Bad news for us
Jurgen Klopp has revealed centre-back Joe Gomez may need surgery on a hairline leg fracture, after several setbacks in his recovery process stopped the break from healing.
we are doomd guys, without Gomez, TAA we just but so done....
kiburi cha Kloop kimetumaliza
hakusajili replace are back up kwa sababu aliamini watarudi mapema.Sasa matarakio ni sawa na kitumbua kuingia mchanga wakati una njaa kali.Bad news for us
Jurgen Klopp has revealed centre-back Joe Gomez may need surgery on a hairline leg fracture, after several setbacks in his recovery process stopped the break from healing.
Hii injury ya Gomez inanikera jinsi alivyoipata. Inanikera sana [emoji58][emoji52]we are doomd guys, without Gomez, TAA we just but so done....
kiburi cha Kloop kimetumaliza
hii inakera sana maana umoja wake na VVD mpaka sasa tunatembea kifua mbele maana waliweka msingi ya ushindi mfululizo...Hii injury ya Gomez inanikera jinsi alivyoipata. Inanikera sana [emoji58][emoji52]
Imeshatokea hamna tena namna.hii inakera sana maana umoja wake na VVD mpaka sasa tunatembea kifua mbele maana waliweka msingi ya ushindi mfululizo...
injury nyingine ni ya Alex Chamberlin kaka inakera ach, yaaaaaani ndogo alikurupuka mpira hukua na madhara aafu ndio akaja umia vile..
imagine Kimich upande mmoja na mwigine Alaba man tutaletewa mashambulizi kama yote...Liverpool vs Bayern Munich
Centre Backs watakuwa LOVREN - MATIP na Right Back ni MILNER
Klopp ni Genius, King, World Class, Greatest Coach in the World, Mtaalamu wa Soccer management! Hii game tutaimaliza mapema tu.
aafu Kocha ka relax kabisa kama vile lengo letu ni Big four...januari imepita kimya kimya na alikua na nafasi ya kurekebisha yote hayo, sasa tutegemee kumuona Lallana beki maana Hendo, Lallan, Milie ndio tegemeo la kocha,irreplaceable kwake.Imeshatokea hamna tena namna.
Klopp kuna muda anazinguaga mpaka unahisi ni agent wa Man U kaletwa pale kutu enjoy tu [emoji16][emoji16]aafu Kocha ka relax kabisa kama vile lengo letu ni Big four...januari imepita kimya kimya na alikua na nafasi ya kurekebisha yote hayo, sasa tutegemee kumuona Lallana beki maana Hendo, Lallan, Milie ndio tegemeo la kocha,irreplaceable kwake.
Tulikua tunaongoza hapa kwa gape la points 4, watu wakaanza kutangaza Ubingwa bila kufikiria matokeo ya michezo mingine iliobaki, hali ya kikosi, falsafa ya mwalimu na Benchi zima ufundi pamoja na management nzima ya club. Bila kufikiria kwamba hitilafu yoyote katika vilivyotajwa inaweza kusababisha title race kua ngumu watu mkaanza kutangaza Ubingwa, sasa gape limeongezeka kidogo (kiddin [emoji23]) kua points 5 ndo mnabadili kauli, mnafadhaika na kuanza kuleta kauli za kujikinga na fans wa rivals wetu endapo tusipobeba Ubingwa. Ligi bado sana, uwezekano wa kushinda upo.
#YNWA
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakuta mtu anasema eti January hii hakuna timu inayoweza kukuuzia mchezaji wake mziuri ndio sababu Klopp hajafanya usajilli. Seriouslyaafu Kocha ka relax kabisa kama vile lengo letu ni Big four...januari imepita kimya kimya na alikua na nafasi ya kurekebisha yote hayo, sasa tutegemee kumuona Lallana beki maana Hendo, Lallan, Milie ndio tegemeo la kocha,irreplaceable kwake.
Dah wazee si kwa kulalamika huku sipati picha mngekuwa ni Ile n jinsia nyingine ingekuwaje.... nimepitia majukwaa mengine nyinyi mna hali nzuri kuliko wengine mnalalama hivi, wengine wasemeje?
Nadhani kwa namna mnavyoshindwa kuhimili pressure ndivyo wachezaji wenu watakavyoshindwa kuhimili mnaweza kutoka kapa this season.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakuta mtu anasema eti January hii hakuna timu inayoweza kukuuzia mchezaji wake mziuri ndio sababu Klopp hajafanya usajilli. Seriously
Unapoingia vitani ni kuwa tayali kwa kila kitu.... kwa sasa ukilalamika hali uliyonayo wewe sasa man city, United, Asernal, Chelsea or Spurs atasemaje? ni vizuri kushukuru kwa kidogo ulichonacho maana wengine hawapo kwenye position mliyopo na bado mnalalamika.Tunapoongoza kwa 5 Points halafu tuna game na Man United pale Old Traford basi Automatically hapo tunaongoza kwa 2 Points.
Usiniulize kutaka Facts bali subiri Siku ya Game utapata reason.