Alisema baada ya mechi 10 watakuwa wapo juu ya city kwa 10points......Uyo King Ngwaba Si ndo anajulikana apa kama mchambuzi bora kabisa wa soka!!!
Au..!!??
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Mbona mahasira tena jombaaaaa.......Hiz pumba zako uwe unajaza kwenye uzi wenu
Yaan hamjadili mpira mnawaza USHAMBENGA tu .
Kajadilini hata THE GONO YENU HUKO inayoenda kushirik EUROPA kwa mara nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry naomba kuuliza kwana RB alifungisha hilo goli la leista.Kwa wagonga nyundo nadhani Fabinho atacheza hiyo nafasi
Achana nao hao hawanaga pont za msingi zaidi ya kuchukia wachezaji wa kiingereza bila sababu,
Hawa nao wameshafikia ukomo wa kufikiri furaha yao naiona inaanza kuharibika. Mwezi February kwao hautakaa sawa.Jumapil naenda kumng'ang'ania man city, ikiwezekana namzabua kabisa,
Mshindwe sasa kuongeza gape la point, nitawashangaa sana,
Iwe mvua iwe jua, man city lazima nikaondoke na point, haijalish ni 1 au 3
Sent using Jamii Forums mobile app
Duly baba nipigie Manciti maana kwa sasa bila kutegemea timu zingine kunisaidia kumpunguza makali yake nalikosa kombe,
hayo ndio maneno aisee wekedi inaanza poa kwa ari hio...Jumapil naenda kumng'ang'ania man city, ikiwezekana namzabua kabisa,
Mshindwe sasa kuongeza gape la point, nitawashangaa sana,
Iwe mvua iwe jua, man city lazima nikaondoke na point, haijalish ni 1 au 3
Sent using Jamii Forums mobile app
LB Robertson alitoa faulo iliyozaa goli hilo lakini husikii malamiko hapa juu yake jiulize kwa nini.
Tuna watakia .........Kila kheriJumapil naenda kumng'ang'ania man city, ikiwezekana namzabua kabisa,
Mshindwe sasa kuongeza gape la point, nitawashangaa sana,
Iwe mvua iwe jua, man city lazima nikaondoke na point, haijalish ni 1 au 3
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana yupo JojinyoHivi Keita yupo?
Hapana yupo Jojinyo
Chelsea starting line upHa ha hah
Chelsea starting line up
[emoji377]1
[emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
[emoji377] Ngolo kante [emoji377]
[emoji377] [emoji377] Hazard
Coach:[emoji377]