Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
kabisa Mkuu leo bana ni ngumu kuelewa ni kama raudi ya kwanza Carabao sio EPL,
bora City angeshinda jana pengine wangejituma kubakisha gepu ya nne kuliko hii perfomance ya leo nyumbani...
kwa timu tunayotaka ubingwa baada ya kuukosa 29yrs hatuwezi kucheza hivi guys...
klopp need to look at himself in da mirror if damn he s ready to steer us thro winning til May n get th trophy maana kwa leo am still in dismay what really were this guys doing campin Dubai....Our team selection, our substitutions today did not reflect of a team wanting it.
If we keep it this way, we will soon create a big pressure to ourselves.
I hope everything goes well in our left games. Otherwise we will kiss our asses.
ndio hapo sasa Mkuu siku za kutosha, fresh legs at home pia aafu unatoa draw like serious...Na ukumbuke hatuko kwenye hayo mashindano ya EFL na FA, ungetegemea tuwe tumepumzika vya kutosha.
Hawa tywapige la pili ili watulie
inaanza tukiwa na pointi tano kileleni sio haba...Nimeogopa sana kuona timu inayotaka kuchukua ubingwa inacheza mpira wa kuvizia. Na tatizo lenu Kokoliko mnaongea sana halafu mnashindwa kujiongeza kwa kutokutumia hesabu za kimpira tofauti ya gape la point kati ya nyie, Man City na Spurs ni ndogo sana ukilinganisha na mechi zilizobaki. Historia bado inawahukumu, Kokoliko tunawajua huwa mnaanza kwa mbwembwe, ila mwishoni mnapoteza. Siku zote EPL huwa ikifika kipindi kama hichi, timu zote zinakuwa mbogo, tunawaonya next game mna kazi ya kufanya, ligi ndio kwanza kama imeanza!
Wewe ni mshabiki wa timu gani?Nimeogopa sana kuona timu inayotaka kuchukua ubingwa inacheza mpira wa kuvizia. Na tatizo lenu Kokoliko mnaongea sana halafu mnashindwa kujiongeza kwa kutokutumia hesabu za kimpira tofauti ya gape la point kati ya nyie, Man City na Spurs ni ndogo sana ukilinganisha na mechi zilizobaki. Historia bado inawahukumu, Kokoliko tunawajua huwa mnaanza kwa mbwembwe, ila mwishoni mnapoteza. Siku zote EPL huwa ikifika kipindi kama hichi, timu zote zinakuwa mbogo, tunawaonya next game mna kazi ya kufanya, ligi ndio kwanza kama imeanza!
ndio hapo sasa Mkuu siku za kutosha, fresh legs at home pia aafu unatoa draw like serious...
Klopp shold take th blame nothin less.
yaaaaani RB Henderson lol
kona za hovyo
mipira ya adhabu hovyo
ubingwa kama ndio tutakwenda hivi tutauona kwenye runinga
Lalana wa nini???
huku Henderson alikua msidikizaji haelewi nini afanye...Clyne kule Bournemouth kafanya kazi kubwa sana kuwadhibiti akina Hazard...
we missed th Origi magic kama ileeee ya majirani blu blu...Mtoto mpendwa...Muingereza.
I would rather take Origi in
kumbe you are still alive?tungeshinda na leo nadhani kifua chako kingepasuka kwa kushindwa kuhimili kuhifadhi haya maneno uliyoyasema, kweli mungu hamtupi mja wakeNimeogopa sana kuona timu inayotaka kuchukua ubingwa inacheza mpira wa kuvizia. Na tatizo lenu Kokoliko mnaongea sana halafu mnashindwa kujiongeza kwa kutokutumia hesabu za kimpira tofauti ya gape la point kati ya nyie, Man City na Spurs ni ndogo sana ukilinganisha na mechi zilizobaki. Historia bado inawahukumu, Kokoliko tunawajua huwa mnaanza kwa mbwembwe, ila mwishoni mnapoteza. Siku zote EPL huwa ikifika kipindi kama hichi, timu zote zinakuwa mbogo, tunawaonya next game mna kazi ya kufanya, ligi ndio kwanza kama imeanza!
huyu jamaa hata mimi ndio kama naanza kusoma comment zake leo inaelekea alikuwa anasubiri tupoteze points ndio ajionesheWewe ni mshabiki wa timu gani?
Liverpool kinachowagharimu naona ni presha tu ya kua pale juu na city akiwachungulia matakoni ila mkitulia tu na mkacheza bila kujipa presha na kuenjoy the game mtapata results...punguzeni presha enjoy your game
haipendezi mrembo kuwa mchawi!Sasa umejua Mimi ni mchawi au lah?[emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.