Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ujuaji kukuekea Facts?

Mimi nimezungumzia Timu yangu ya Liverpool na Timu Nyengine.

Mimi nimeweka Ratiba ya Liverpool ya December, Sasa wewe weka Ratiba za:

Man U ya December
Chelsea ya December
Arsenal ya December
Spurs ya December
Man City ya December

Namimi nitakuekea za kwao za February na March halafu tuangalie Je watakuwa na Mechi nyingi zaidi kuliko walizokuwanazo November & Decembe kama ulivyodai? Au watakuwa na Mechi kidogo kama ninavyodai!

Shida iko wapi? Si weka tu Facts uniprove wrong! Hapa tunakwenda kwa Facts na si kutafuta huruma brother.
Huo muda wa mimi kuchukua ratiba za timu za Uingereza kukuwekea hapa sina aisee..!
Inaeleweka kabisa kuwa timu inavyokua kwenye mashindano mengi basi inakua na michezo mingi zaidi na probability ya kuwa na majeruhi wengi katika timu inakua kubwa zaidi..!
Ila hii sio debate mzee,ni mjadara wa kimichezo tu...
Na kwakuwa wewe ushajinasibu unafuatilia (na kuuelewa bila shaka)mpira kushinda mimi,hata hizo facts unazohitaji hazitasaidia kitu Mzee..!
 
Kwa kutumia common sense we jama uelewa wako ni mdg sana kwenye issue za football
No research no right to speak
How comes fab na march kuwe na match nying kipind amacho una mashindano mawili,unaambiwa uletee evidenc huna kutuelewe vipi hoja hutetewa kwa hoja tetea hoja yako kwa kuleta ushahidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka ushahidi kutoka kwa mtu mwenye uelewa mdogo..?
Utapata evidence gani ya kueleweka kutoka kwa mtu mwenye uelewa mdogo..?
 
February na March kuna mashindano mawili..?
Uko serious au unatania..?
Unaweza kuyataja hayo mashindano mawili..?
Labda jamaa wanamaanisha Liverpool ana EPL na UCL wakati man city ana EFL, UCL, EPL na FA CUP, so anaamini lazima mwenye mashindano mengi atakuwa na mechi nyingi zaidi
 
Ooh...
Kumbe yeye alifikiri mimi ninaizungumzia Liverpool..!?
Ahahaaah,hilo ndio tatizo la kuchangia bila kupitia convo vyema..!
 
Sasa hapa ndiyo tuseme December na November kulikuwa Hakuna Hizo CL, Europa, EFL na FA au?

Ooh...
Kumbe yeye alifikiri mimi ninaizungumzia Liverpool..!?
Ahahaaah,hilo ndio tatizo la kuchangia bila kupitia convo vyema..!

February Nzima huyo Man City anacheza Mchezo mmoja tu wa CL na Hiyo michezo ya EFL na FA November, Decwmber na January Kaicheza! Tena kibaya zaidi huko kwenye CL tulikuwa katika Makundi! Sasa iweje Kwenye Makundi December tuwe na Mechi kidogo then kwenye Mtoano tuwe na Mechi Nyingi?

Hapa naona wewe ndiye uliyekurupuka?

Hivi Hao Man City Waliocheza Michezo isiyopungua 15 kati ya January na December unataka kuaminisha watu watakuwa na Michezo mengi March na April?

Ratiba zipo za February na March ziweke hapa tuone kama kuna timu itakayotimiza Michezo 8 ukijumlisha yote ya FA, Carabao, EPL na CL.
 
Huo muda wa mimi kuchukua ratiba za timu za Uingereza kukuwekea hapa sina aisee..!
Inaeleweka kabisa kuwa timu inavyokua kwenye mashindano mengi basi inakua na michezo mingi zaidi na probability ya kuwa na majeruhi wengi katika timu inakua kubwa zaidi..!
Ila hii sio debate mzee,ni mjadara wa kimichezo tu...
Na kwakuwa wewe ushajinasibu unafuatilia (na kuuelewa bila shaka)mpira kushinda mimi,hata hizo facts unazohitaji hazitasaidia kitu Mzee..!

Basi Kama Huna RATIBA kaa kimya Coz Mimi Ninaongea Kwa Uhakika wa Ninachokisema Kwani Nina Ratiba Kamili ya EPL, CL, FA na Carabao.

Na kila Timu ninaijua Michezo Yake Ya Kila Mwezi (Let Zitafika Fainali CL, FA, Carabao).

Na ndiyomana Ninasema kuwa Kuanzia February hii Michezo ya Katikati ya Wiki itapungua Coz CL ndiyo inayochezwa Katikati ya Wiki na Haichezwi kila Wiki Bali inachezwa Kila Baada ya Wiki 2.

FA na Carabao hazileti Msongamano wa Mechi kwani Zinapochezwa Ligi huwa inasimama J1 na J2
 
February na March kuna mashindano mawili..?
Uko serious au unatania..?
Unaweza kuyataja hayo mashindano mawili..?

Ni sawa na Kusema kuna Mashindano MAWILI.

Kwasababu CL na EPL ndiyo mashindano mawili pekee ambayo hayaathiriani kwani yameshapangiwa ratiba ya Msimu mzima.

Lakini FA na Carabao ratiba hupangwa kila baada ya kuingia hatua nyengine.

Na Ndiyo mana EPL, FA na Carabao yanaathariana..

Kwahiyo timu inapocheza FA au Carabao basi Michezo wake wa EPL kwenye Siku hiyo unaekwa Kiporo.

Na ndiyomana inakuwa sawa na kuwa Mashindano mawili Kwani Nafasi ya FA na Carabao inachukuliwa kwenye nafasi ya Mchezo wa EPL.

Kwahiyo Katikati Kipondi cha kuanzia February timu zitakuwa na Wastani wa Michezo 4 au 5 tu! Tofauti na November, December na January ambapo timu zinakuwa na wastani wa Michezo 8 na 7.

Haya utayajua ikiwa unafuatia Soccer.
 
Mimi huwa nafuatilia ISIDINGO,mpira unafuatilia wewe..!
Endelea kubaki na facts zako za kimpira,mimi nitabaki na facts zangu za kidrama(ISIDINGO)..!
Nisikupotezee muda wako,ukiniignore itakua vyema..!!!
 
LIVERPOOL MAKE FIRST SIGNING

Liverpool have reportedly sealed a deal for 16-year-old centre-back Billy Koumetio from US Orleans.

The highly-rated youngster had a successful trial with the Reds at the end of last year, with reports now suggesting he has signed a permanent deal for a nominal fee.
Source. Skysport
 
Tottenham Hotspurs:
  • Wameshatoa Salary ya €7m per year kwa Rabiot
  • Wamemuhakikishia Nafasi ya Kuanza kwenye First XI

Liverpool FC:
  • Rabiot amesita kusaini Spurs na amesema iwapo atakuja Premier League timu pekee anayotaka kuichezea ni Liverpool FC
  • Klopp mpaka sasa hajaonesha dalili yoyote kuwa anamtaka Rabiot.

Huenda Klopp anatarget nyengine iliyokuwa bora zaidi... Au inawezekana ni Fekir?
 
LIVERPOOL MAKE FIRST SIGNING

Liverpool have reportedly sealed a deal for 16-year-old centre-back Billy Koumetio from US Orleans.

The highly-rated youngster had a successful trial with the Reds at the end of last year, with reports now suggesting he has signed a permanent deal for a nominal fee.
Source. Skysport

Hii ni gamble kama kwa Ki-jana na si kwa current situation
 
kwa wale ambao sio season ticket holders bei ya Tiketi mechi ya mwisho EPL Liverpool Vs Wolves bei ni 18mtsh.

Liverpool's final game of the season is the hottest ticket in football — already being offered for a staggering £6,000.(ni kama 18m)

An industry insider said: “Liverpool v Wolves is the big ticket in football because fans want to be there, especially if Liverpool are going for the title on the last day.

Fans from overseas are willing to pay anything to be there if history is being made. The people enquiring have the money – and are willing to spend it to be present at an iconic occasion.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom