Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
Ha ha haaa jamaa mdomo upo wazi sana huyu dah ndo yanayo wakuta kina Keita haya sie tunapiga kelele tu kumbe mpaka makocha wana hali ngumu mpaka anakwambia vumilia kwa sababu hizi inakubidi tu uwe mpole kwakweli
Huyu hawezi kumshawishi mchezaji aje kwa hichi kilicho mkuta