OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Hahaha mumeanza kuwaogopa Man United..!! Ahahaha hizi ni dalili za mwanzo tu..ni sahihi, Gomez anahitajika awe kashapona vs Manu...
kwa sasa ni kuwaombea pepo la majeruhi lipate mbali kabisa na wachezaji wetu.
Keita ni kamari tu iyo mlicheza.Keita kwasasa tuukubali ukweli kuwa performance Yake ipo chini sana.
Kwahiyo combi ya Mido yetu kwa sasa ni GINI-FABI-HENDO.
Akipona AOC basi combi yetu itakuwa GINI-FABI-OX.
Keita anahitajika aimprove kiwango chake kwanza.
Wanachofanya Barcelona ni kama mchezo wa kuigiza!
Hivi Barca anashida ya Boateng kweli??
Rabiot?
Timu yenye Midfielders Kama Dembele, Arthur, Rakitic, Coutinho, Vidal and Busquet sidhani kama kuna nafasi ya Boateng na Rabiot.
dah!! nmeona it’s a serious problem man!
Nkikumbuka ile save vs Everton kwenye line.. dah this boy is the best...
Rabiot ashaenda Barca?
Rakitic, Rafinha inasemekana wanaondoka summer baada ya usajili wa De Jong
Ila hii ya Boateng nimestuka sijui plan zao ni nini!?
[emoji23] hendo vipi unamtaka?Tupunguze/Tuoffload baadhi ya wachezaji ili kufund hizo new signings...
Wanaopaswa kuondoshwa ni:
- Mignolet
- Origi
- Sturridge
- Markovic
- Clyne
- Moreno
Ambao tayari tumeshakubaliana kuondoka ni:
- Solanke
- Karius
- Ings
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Umenikumbusha