Morata ni mchezaji ambaye anaweza akacheza hata liverpool na akapata namba ya kudumu.[emoji23][emoji23] kama Hamorata alishindwa Shuwaini ataweza nini?
Hahaha asee umenifurahisha sana. Yule akija labda awe anawaoshea akina Firmino viatu vyao baada ya training na matches.Morata ni mchezaji ambaye anaweza akacheza hata liverpool na akapata namba ya kudumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia hapo uyo salah ana mechi nyingi kuliko Hazard..
Kwani Firmino alianzaje mkuu?Hahaha asee umenifurahisha sana. Yule akija labda awe anawaoshea akina Firmino viatu vyao baada ya training na matches.
Mzee baba unazingua. Nimeamini mapenzi upofu. Fanya averaging tu hapo utagundua haupo sawa.Angalia hapo uyo salah ana mechi nyingi kuliko Hazard..
Magoli mengi ya Salah ni kwa sababu ya ubinafsi wake..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hatuwezi kumtoa bana wakati tumemsajili ili achezeKwani Firmino alianzaje mkuu?
Ukimtoa Mane apo unadhani Firmino ana maajabu yeyote atakayofanya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti ya mechi 3 kwa tofauti ya goli zaidi ya 20 hahahaha, ubinafsi kwa yeye kuwa na assist 19 mwenzako assist 14, loooh, wee jamaa una makengezaAngalia hapo uyo salah ana mechi nyingi kuliko Hazard..
Magoli mengi ya Salah ni kwa sababu ya ubinafsi wake..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mapenzi upofu waswahili walisemaga.Tofauti ya mechi 3 kwa tofauti ya goli zaidi ya 20 hahahaha, ubinafsi kwa yeye kuwa na assist 19 mwenzako assist 14, loooh, wee jamaa una makengeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Salah kamzidi hazard mechi 3, kwa kila mechi hazard ana wastani wa 0.65 goals/asst per game kwa maana hio tufanye HAZARD 58 games, 24.29 goals, 16.29 assist na bado hajamfikiaAngalia hapo uyo salah ana mechi nyingi kuliko Hazard..
Magoli mengi ya Salah ni kwa sababu ya ubinafsi wake..
Sent using Jamii Forums mobile app
Bobby utawauwaaa wana familia haooooKwani Firmino alianzaje mkuu?
Ukimtoa Mane apo unadhani Firmino ana maajabu yeyote atakayofanya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika mechi zote almost 15 au 16 zilizobaki, Tunaenda kushinda mechi zote bila kudraw wala kudrop point hata moja.
Take it.. Man city anaenda kupoteza mechi ya Jumamosi Vs NewCastle.
It's Coming Home.
Tofauti ya mechi 3 kwa tofauti ya goli zaidi ya 20 hahahaha, ubinafsi kwa yeye kuwa na assist 19 mwenzako assist 14, loooh, wee jamaa una makengeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Benitez ni ndugu yetu lazima afanye yake...!
Ndoto za alinacha za kuota unanunua jet kwa laki 8Benitez ni ndugu yetu lazima afanye yake...!
Ahahaaah..."adui" yako mwombee njaa aisee...
ubingwa wa msimu huu kuna hatihati ukaamuliwa mpaka mechi ya mwisho,
endapo gepu hii haitapungua zaidi au kuongezeka zaidi basi itakua ni presha kwa Majogoo na vijana wa Ethad
Pazuri maana nafasi ya nayo inau kali wa aina yake Chelsi, Manu, Aseno wote wanaichungulia,
Muda utasema nani kidume.