Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Waingereza bhana! Hivi kina Ian Doyle wanajiona wapo sahihi wanaposema kuwa Markovic is a bad "investment" the Reds have ever made?

What about Andy Carroll? Ingawa hawalioni hili kwasababu ni Mmalkia mwenzao! Lakini Carroll ndiyo Worst investment the Reds have ever made.0
 
Kabisa kaka Makinda hawa wakipewa nafasi wanaweza mbona ishu ni pale tu kuwapa nafasi ya kucheza na kupata namba ya kikosi, hapo ndio pangumu maana Suso kipindi kile je angemuweka C10 nje, hapana na pengine Klopp aliona hana nafasi ya kupenya.

ni bora wakati wanauzwa tuweke kipengele cha "first refusal to buy" ili wakisha develop na walikokwenda wakihitaji kuuza basi tunapewa nafasi ya kwanza kununua.

Hawa waliopo Grujic, Kent, Wilson nk timu ijitazame namna ya kuwabakisha kwenye timu.
 
Atapoteza Vs Man U, vs Chelsea, Vs Leister.

Atatoka draw Vs Arseno, Vs Crysto

lol if wishes were horses....
Sawasawa kabisa...
Wewe kwakuwa una timu bora kuliko City utajipigia wote hao ambao watamfunga City...
Na katika kuendelea kuthibitisha ubora wa timu yako, hao ambao wewe umewafunga City atatoa nao sare..!
Hakika huu ni mwaka wenu..!!!
 
Wewe utapoteza vs CHELSEA, Man United..

Raundi hii huchomoki..

Sent using Jamii Forums mobile app
Chuga baba, tangu ligi inaanza hayo maneno hatuchomoki yangekua kweli tungekua nafasi ya 6 au 10..

hivyo mpaka sasa ligi twaongoza sisi mkuu, mtulie kabisa tufanye yetu, Chelsi mkiniletea gemu kama ulivyocheza na Aseno ujue utakufa nyingi tu, pale Anfiled pamekua kisiki kwa sasa kutufunga ujipange.

ManU pamoja na ushindi mfululizo udhaifu unaonekana nyuma na siku si nyingi wataanza kuchezea vipigo. Traford wakijitahidi sana sana ni draw.

Hongera kwa Higuan japo umri umemtupa lakini ni jembe muda utasema kama EPL ataimudu.
 
Point kumi eenhe..!?
Basi safi..!
Wewe endelea kushinda tu,huku wenzako wanaendelea kupoteza,yaani kama uchawi vile..!
Aaa pointi nne Mkuu.

Hizo tunapambana zishuke zibakie hapo hapo maana City tukizubaa akatupiku basi itatupa kazi kweli kweli
 
Sawasawa kabisa...
Wewe kwakuwa una timu bora kuliko City utajipigia wote hao ambao watamfunga City...
Na katika kuendelea kuthibitisha ubora wa timu yako, hao ambao wewe umewafunga City atatoa nao sare..!
Hakika huu ni mwaka wenu..!!!
"adui" yako mwombee njaa aisee...

ubingwa wa msimu huu kuna hatihati ukaamuliwa mpaka mechi ya mwisho,

endapo gepu hii haitapungua zaidi au kuongezeka zaidi basi itakua ni presha kwa Majogoo na vijana wa Ethad

Pazuri maana nafasi ya nayo inau kali wa aina yake Chelsi, Manu, Aseno wote wanaichungulia,

Muda utasema nani kidume.
 
Ume mpinga ollechuga alichosema lakini baada ya hapo ukaanza kuwaza kama yeye anavyowaza,kimsingi alichosema jamaa na wewe unachosema hakuna tofauti labda majina ya team tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…