Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
My Squad vs Palace:
SALAHAIn case GINI hatokuwa fit:
MANE - BOBY - HENDO
FABY - GINI
ROBO - VVD - MATIP - MILLIE
ALISSON
SALAHFormation: 4-2-3-1
MANE - BOBY - XHAKIRI
FABY - HENDO
ROBO - VVD - MATIP - MILLIE
ALISSOM
NOTE: Nimemueka HENDO kwenye vikosi vyote viwili sio kwamba Namrate kuwa ni mchezaji!! Ninachojua kuhusu Hendo Hata Lipuli FC hawezi kupata namba! Bali ninajua kuwa KLOPP lazima atampanga tu ndiyomana nikamueka.
Wee acha tu Dunia nzima ilijua tumepata mchezaji mpaka Gerad anamkabidhi ile namba kapangwa gem ya kwanza kanza vyema kabisa zinazo fuatwa unapigwa benchi imemuathili kiakili watu wanamtetea kocha eti awe mvulivu.Kiukweli mimi issue ya Keita inaniumiza sana, mpaka kuna kipindi huwa nakufuru kwa kunwombea Hendo injury ya hata kukaa nje miezi 5 hivi.
Unatumia hela nyingi kununua gari zuri halafu unaendelea kuendesha la zamani. Nashangaa sana.
Arsenal special thread....na thread yeyote ambayo ipo active,
Chelsea kukiwa hai utanikuta hata man utd pia kikubwa napenda changamoto na kujifunza pia.....ila uzi ninaoupenda hasa ni wa Arsenal yaani kila siku lazma nipitie nione kuna nini,hizi nyuzi nyingine huwaga naangalia notification button mkuu ila sisi ni watu wa soka ni family
Wewe unakubaliana Clopp kwamba haja adapte kwenye team huku hapati muda wa kutosha?
This is bad news to Hendo-Fanboys as they think Hendo is a greatest captain ever in football history and he deserves to play minute after minute.
AllisonSo nimeona hii kwenye Anfield HQ, what is your 5 A - SIDE TEAM kutokana na wachezaji hawa pamoja na positions zao?
Mine ni: Reina-VVD-Steven Gerrard-Coutinho-Torres
ya kwako ni ipi?
View attachment 996579
Arsenal special thread....na thread yeyote ambayo ipo active,Nikiangalia profile yako kwa leo, umepost mara 4 Arsenal na mara 6 Liverpool.
Chelsea 0, na Man Utd 0.
Soccer Managementππππππ dah halisi haya maneno sijui wanayatoaga wapi
Soma vizuri jibu langu utaelewa tu.....nimekwambia naangalia NOTIFICATION BUTTON ,so sichagui jukwaa la kuchangia kama nina lolote la kucomment mkuu. .......sasa hivi hapa kuna popu la maana kwani glory hunter wapo kama wote,mukipoteana na sisi tunapoteaNikiangalia profile yako kwa leo, umepost mara 4 Arsenal na mara 6 Liverpool.
Chelsea 0, na Man Utd 0.
Hujui lolote,Katika post zao utagundua kuwa they know nothing about football analysis
Na ndiyo mana wana misamiati yao SITA haizidi ππ
1) Hujui Soccer management
2) Klopp anajua Zaidi kuliko wewe
3) Hujui lolote
4) Sisi Liverpool HALISI
5) Hendo katufikisha Fainali
6) FA na Carabao ni makombe ya Kipuuzi
Lakini ukiwambia wakupe Facts kuhusu ya hata kile wanachokiongea basi wanaishia na personal attacks lakini kichwani Hanna kitu.. ππ
Ukitaka kujua kama Hawa Jamaa Vichwa vyao Vikubwa lakini ubongo wao ni wa Mende basi muulize swami dogo tu! Hendo anaoffer nini uwanjani?
Yeye anakujibu Katufikisha Fainali [emoji23] [emoji23][emoji23]
Hizo akili au tope!!! ππ