Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Depression kaka, kuna watu raha yao ni kupenda kuchokoza watu ili tu uibuke ugomvi, na mkikaa kimya atakuchokoza yeye halafu atasema wewe ndo umemchokoza.

Naona watu wamemtenga sasa kila muda inabidi atupie single zake.

Sema kapata kampani ya Liverpool HALISI mwenzake DullyJr, featuring yao inanoga sana.
 
katika uhasia tu mkuu,unataka kusema wewe unajua kuliko JK?


jibu NDIYO/HAPANA...............hapo ndipo tutajua jamaa alikuwa sahihi au wrong?
 
mimi ni GUNNERS HALISIA

Baada ya kumaliza vita ya Wenger Out, Conte Out na Mourinho Out baina ya Mashabiki wa timu hizo! Sasa kuna vita mbili kuu zinanukia! [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]

1) Unay Out
2) Sarri Out


😀😀😀

Sasa hapo wewe utachagua upande mmoja kati ya Unay out au Unay must stay ! Then hapo ndiyo tutamjua nani Gooners Halisi 😀😀
 
uunai bado tunampa muda wa kutengeneza kikosi chake pale ........maana ndio kwanza msimu wa kwanza .............JK huu ni msimu wa nne sasa na sijasikia kelele za klopp out why iwe kwa Emery ambaye ndio kwanza karusha kete yake ya kwanza?
 
Mapendekezo yangu this January:
Tusajili only Timo Werner


Mapendekezo yangu Next Summer:
Tusajili only
Nabil Fekir


Ushauri wangu Next season:
  • Harry Wilson Arudishwe Liverpool
  • Grujic arudishwe Liverpool
  • Cutis Jones apelekwe kwa Mkopo Germany au Midtable timu inayocheza EPL
  • Camacho afanywe kuwa ni back up rasmi ya TAA
Mpaka hapo hatutohitaji usajili mwengine zaidi ya hao wawili
 

Kipi kilimfanya aondoke?

Sisi kama mashabiki kikubwa tunaangalia ushindi.kabla ya klopp palikuwa na makocha wengine bora hapo Liverpool ,wakaondoka wamekuja wengine swala la kuondoka au kufukuzwa

Kwa klopp ni kawaida kwa sababu yeye sio wakwanza kuifundisha liverpool au kufukuzwa liverpool.

Liverpool inampenda sana klopp alivyokuja walimpa mkataba wa miaka 6,ingawa watu waliponda hakutakiwa kupewa miaka yote hiyo.

Kuna siku kwenye skysports nilimsikia rooney anaulizwa kuhusu man u,anasema kocha anayefaa kuifundisha man u kwa sasa ni klopp,

Klopp kwa sasa ni lulu, ukisema umuondoe sasa hivi ,timu kibao zinamtaka wanataka wamena kocha kama huyo.

Kilitusaidia huo mkataba wa miaka 6,ilikuwa ngumu kuondoa hata yeye anaona timu inampenda na kumkubali.

Tumemmis pia ila sasa hayupo tunafanyaje? Tunaacha kucheza mpira tumsubirie? ,




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
habari ni kwamba yule Mo-diver jana kaendelea kushirikiana na marefa kupeleka free 3 points pale anfield but ipo siku

Endelea kusubiri sana,ukijakushtuka tumeshachukua kombe.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Mkuu umekuwa mgeni kwenye huu uzi?
 
Hawa Liverpool Echo ni pure Liverpool Halisi!!!

Sote ni mashahidi hapa kuwa mwanzoni mwa Msimu walimponda sana Fabinho kwenye Kila Makala ya Gazeti lao ili kumpa promo Hendo aendelee kucheza DM.

Lakini cha ajabu sikuhizi kila Article wanayotoa ni Kumsifia Fabinho tu utazani hawakuwahi kuwaaminisha watu kuwa ni mchezaji mbovu.

Sasa kidogokidogo wanaanza kumsahau Captain wao.
 

ECHO sasa hivi ni Fabinho na VVD ndo habari kubwa.

Nasubiri siku Keita akiweza kuikaa namba 8 vizuri tu ili Hendo apishe kabisa.
 
Na Wikihii Nimetembelea Kwenye Forums Nyingi kabisa na Mitandao Ya Kijamii na Nikagundua Kuwa FABINHO ni mchezaji anaependwa zaidi ndani ya Liverpool kwasasa kuliko Mchezaji yeyote yule.

Amewapiku Salah na VVD

Na Henderson ndiye mchezaji anaechukiwa ndani ya Liverpool kuliko mchezaji yeyote yule.

Sadio Mane ndiye mchezaji anaizidi kusahauliwa kwa kasi ndani ya Liverpool kuliko mchezaji yeyote yule.

Robertson na Alisson ndiyo wachezaji wasio na bahati zaidi ndani ya Liverpool kuliko mchezaji yeyote yule! Kwani ndiyo wachezaji wetu bora na muhimu zaidi kwenye timu lakini hawazungumzwi na Kumwagiwa sofa kama wengine.

Na TAA au Gomez atakuwa our Future Captain
 
ECHO sasa hivi ni Fabinho na VVD ndo habari kubwa.

Nasubiri siku Keita akiweza kuikaa namba 8 vizuri tu ili Hendo apishe kabisa.

Mkuu mchawi wa Hendo ni mmoja tu kwasasa!

Ni Alex-Oxlade Chamberlain huyu ndiye atakayekuja kumkalisha Hendo Benchi.




Mido itakuwa hii ↓↓

GINI - FABI - AOC
 
Wakuu hapa ninaziona points 12 na clean sheets 4 bila ya wasiwasi wowote.

January
√ 19 – Crystal Palace (H)
√ 30 – Leicester City (H)

February
√ 4 – West Ham United (A)
√ 9 – Bournemouth (H)

Baada ya game yetu na Palace ya tarehe 19 wachezaji wetu watapata muda mzuri wa kupumzika mpaka tarehe 30.

Liverpoll ni Champion wa EPL 2018/19
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…