Kuna msimu Mane alikua anafanyiwa sab na Origi alinuna ukanza na uvumi kua kuna sinto faham
You Will Never Be Unbeaten.Language signifies juvenile in you
Lost 2-1 to the champs... Who destroyed ar5ena1... Not bad away loss to the best EPL team
Alaaaassss, we did the same as well.... Destroyed ar5ena1....
Asses have 5 defeats and many points behind the kops
You will never finish in top four
this is football braza so epuka kujimaliza......hujui muda wala saaIwapo Arsenal itamaliza ndani ya Top Four Juu ya Man United ninajipiga Ban la kutocomment chochote kwenye Uzi wenu kwa msimu mzima wa 2019/20
Westham just greased the asses and hammered themYou Will Never Be Unbeaten.
habari ni kwamba yule Mo-diver jana kaendelea kushirikiana na marefa kupeleka free 3 points pale anfield but ipo siku
You Will Never Be Unbeaten.
habari ni kwamba yule Mo-diver jana kaendelea kushirikiana na marefa kupeleka free 3 points pale anfield but ipo siku
habari ni kwamba yule Mo-diver jana kaendelea kushirikiana na marefa kupeleka free 3 points pale anfield but ipo siku
WandafuluLiverpool HALISI tuko hapa, tunachukua makombe manne msimu huu.
Nani ambaye hayaogopi majogoo?
Kloop OUT
Buvac In
We miss Buvac too much,yy ndiyo kichwa cha Klopp,bila Buvac huyu Klopp si mali kitu kabisa na atafukuzwa Liverpool na ndiyo Buvac atapewa team!
Kuna watu hapa uwezo wao kuchambua soka mhhh!
Liverpool doesnt miss Buvac!!
Sent from my iPhone using JamiiForums
πππππππππmkuu point zako za kuingia HALISI zilikuwa zishaanza kuongezeka ila sasa unazishusha kwa haya maneno kanga so utaendelea kuwa chipolopolo mpaka ufikiliwe tenaππππLiverpool HALISI tuko hapa, tunachukua makombe manne msimu huu.
Nani ambaye hayaogopi majogoo?
πππππππππmkuu point zako za kuingia HALISI zilikuwa zishaanza kuongezeka ila sasa unazishusha kwa haya maneno kanga so utaendelea kuwa chipolopolo mpaka ufikiliwe tenaππππ
shukrani mkuu,nimekaribiaMkuu nakukaribisha jamvini
Karibu Mchele(Rice) [emoji23][emoji23]
Hahahaha, dah, naona umejibu kijembe indirect, [emoji12] [emoji12]Liverpool HALISI tuko hapa, tunachukua makombe manne msimu huu.
Nani ambaye hayaogopi majogoo?
mimi ni GUNNERS HALISIASawa kiongozi mkuu wa Liverpool HALISI.
Liverpool HALISI tuko hapa, tunachukua makombe manne msimu huu.
Nani ambaye hayaogopi majogoo?
Hahahaha, dah, naona umejibu kijembe indirect, [emoji12] [emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, dah, nawasoma nawasoma [emoji12]Kwani wewe siyo Liverpool HALISI mkuu?
Kama siyo utupishe wenye hati miliki na timu yetu, huna unachojua kwenye mpira.