zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,322
- 9,771
Acha tu yani huyu best coch wetu bangi zake sijui za chugaSalah naona kipindi cha pili baada ya kubadilisha positiona kawa na best performance
mkuu, last season hii ingekuwa draw au defeat.
Walau leo kamsanifu kwakweli kuliko mtu hata benchi hakai unazidi ku flopKocha bhana! Huku ni kumsanifu Origi![]()
![]()
ndio anachojuaHenderson hapandishishi timu kabisa,anazunguka zunguka tu kama pia
more having CP armband is just a joke..Henderson is a terrible footballer
man, how is that bum a proffesional footballer?
Liverpool HALISI
Tumshukuru Mungu,vijana wamepigana sana
Points 3 muhimu sana hizi kondoa mawazoya kufungwa na City
Tumeshinda pamoja
Mechi mbil zijazo ni nyumbani,tuzidi kushikamana
Mwaka huu Klopp anatupa raha sana
usishangae Klopp akampiga benchi na kumuacha Henderson aanze...Next game Matip yupo fiti kwahiyo kwenye defence hakutokuwa na wasiwasi tena
Fabi anarudi kwenye nafasi yake ya Mido
Salah beautfull penati, goli la 14 EPl