Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu mi nadhani hakuna kocha ambae apendi kuwa na kikosi kipana tunachoshindwa kukiona ni kuwa makocha wanasema kile owners wanachowaambia, pesa za usajiri na Mishahara ya wachezaji wa kiwango inahitaji Baraka za owners na si makocha. So ukiona hivyo fahamu kuwa kawatupia vijembe owner waangalie bench la CFC lilivyosheheni players wazuri zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ambacho mashabiki hatukijui tunalazimisha tu tuwe na bechi bora
 
Writes James Pearce:
"When Liverpool lost at the Etihad last week, City striker Gabriel Jesus was an unused substitute. Handed starts in the FA Cup and the League Cup since, the Brazil international has bagged five goals to take his tally for the season to 12.


That's what you call elite level back-up.

If Klopp is serious about competing on all four fronts next season then having greater firepower in reserve is a must, regardless of what happens between now and May."

Trashiest!
4 goals from third tier team!
Teams ambayo inacheza daraja la 10 huko eti ndiyo mtu akifunga anasifiwa!
Sasa kama Klopp anatakiwa awe kama Man City forward yao mbona Man City wapo nyuma kwa Liverpool ktk ligi?
Trash. Trash. Trash as usual



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jamani Liverpool halisi bado dakika 10 vijana waingie uwanjani!
Tuzidishe umoja wetu,Klopp anatupa mambo mazuri mwaka huu
Insha’Allah leo tutashinda


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Xhaqiri mpira ukishamkalia upande wa mguu wa kulia huwa anategemea miujiza tu tena na si Kipaji chake 😀😀😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom