Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Liverpool halisi ndiyo takataka gani?
Where they came from? Mkuranga? Tegeta? Nzega? Babati?
Anywhere but not everywhere.Liverpool halisi ndiyo takataka gani?
Where they came from? Mkuranga? Tegeta? Nzega? Babati?
Hahaha, unachokitafuta utakipata.
Ngoja nisubiri jibu.
ni kwamba ni kama hayupo, hizi long balls second hall waachane nazo kabisaSalah afanye aingie mchezoni naona kama hayupo mchezoni
2nd half pumzisha Shaqiri & Hendo ingiza Keita & Millie.
Anaenuna na anune lakini kwa hichi kipindi cha kwanza tumecheza vibaya sana kiasi ya kwamba utadhani hatuna midfielders uwanjani
true. Shaqiri alisajiliwa kama squad player na iendelee kuwa hivyo.Siku zote huwa nina kauli yangu ninasema kuwa Xhaqiri ni mchezaji mwenye Impact kwenye sub (kipindi cha pili) na sikuanza
Atleast Matip has back...
maana Faby kua Center against pressing teams itakua disaster.
Sent using Jamii Forums mobile app