Yani mukimtaja Ojo huwa nashangazwa sana labda vile simjuiHeheh Lovren abaki huko huko, but in reality tunamhitaji mpaka Matip, Gomez wapone.
Lovren anahitajika sana tu maana sasa Fabihno itabidi atumke kucheza defence badala ya kucheza midfield.
hivyo Fabi akirudi defence guess Henderson tunae sanaaaa tu..
Grujic alikua majeraha long term hivi alishapona?
Ojo chap kutumwo Reading kwa mkopo tena.
Sisi kwetu tuko sawa tu..Mimi sipo liverfools. Sisi kwetu hatujigawi. Hakuna wajuaji, hakuna king wala queen.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutokana na kuumia kwa Lovren naamini sasa atapata nafasi maana Fabi upo uwezekano achaeze beki hivyo muda ni mwalimu tutamuona tu..Ukiona hivyo ujue kuna tatizo la kiufundi kwa mwalimu.
Alicho mfanyia Keita anastahili ku flop
Hivi inawezekanaje upangwe uonyeshe uwezo mkubwa tu ghafla mechi ijayo unapigwa benchi anarudishwa aliekuwepo utajisikiaje?
Mkuu nashukuru kwa penzi lako na uchezaji wa Henderson...Kwangu naona kabisa katika signing mbovu kufanyika ni ya Keita mpaka sasa hivi hajatuonyesha kile alicho nacho maana kila akipangwa anacheza madudu tu. Hata Fabinho alikuws kama yeye lakini atleast FABI now akipangwa kiukweli mimi roho yangu nyeupe kwa kuww naona kuna vitu atavifanya lakini kwa huyu Keita ni Big no na declare interest mimi ni shabiki mkubwa wa Jordan Henderson napenda sana defensive spirit yake ndio maana hata Klopp mwenyewe kwenye game zote ngumu lazima amweke Henderson kwa kuwa yupo vizuri kwenye defensive tofauti na Fabinho na Keita.. Tukiangalia game kama ya juzi na Man cty mchezaji ambaye hakupaswa kuwepo kwenye start team ni Milner kwa sababu alitoka majeruhi na hakuwa na match fitnes na kingine kilicho tukosti ni kuchelewa kufanya sub stution. Kwa viungo vilivyopo sasa hivi pale Liverpool Henderson lazima umwanzishe kwa namna yoyote ile kama wewe mpira unaujuwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nashukuru kwa penzi lako na uchezaji wa Henderson...
Kumfananisha na Fabi japo bado ni mapema sana si sahihi kabisa..
Fabi kwenye ligi mechi alizocheza ndio kiungo wa timu yetu anaongoza kwa accurate passing, tackling, interception, n.k sasa huyu Henderson hizo sifa zote unazompa ni kwenye mechi zipi...
Fabi pia from Midfield ana assist mbili classic Mechi ya Vs Manure pale Anfield alitoa pasi murwa goli la kwanza Mane, Vs Wolves kwao alitoa pia pasi maridadi kabisa...
In th meantime,
Gonaz wonna sign Rodrigz from Bayern,
Manshit wonna sign Dybala from Juvetus,
Manure wonna sign Coutino from Barcelona,
Chelsea after Berela from Calgari
Liverpool where are weeeeeee guys, we need a defender Vanholt n Bensaka from Crystal can be gone additions...or more so a creative midfielder like Isco
Ojo yuko vizuri sana mkuu sema hajapewa muda wa kutoshaYani mukimtaja Ojo huwa nashangazwa sana labda vile simjui
Thanks man nimekusoma.Inawezekana hukunielewa vizuri sijamfananisha FAB na Henderson bali nimefananisha uwezo wake wa kuikutia ligi kati na kajitahidi kuliko huyo KEITA sipingi mwanzoni pia sikuww namwelewa FAB ila kwa sasa hata akipangwa roho hainiumi najuwa kuwa kuna moto ataenda kuuwasha tofauti na akipangwa Keita najuwa ataenda kunitowa kwenye mood kabisa ya kuufurahia mchezo wenyewe. Henderson na FAB wanacheza kwa majukumu tofauti Henderson anacheza sana chini katika Deffensive zone tofauti na FAB
Sent using Jamii Forums mobile app
ishu kuu hapa ni hii defensive crisis kutukuta kipindi ambacho hua tunapoteana tangu Klopp aingie yaani adiha droo or kipigo....Kwa jibu la wale: We have a deep depth
Klopp: Probably not
Ukifirikia kuhusu Michael Edwards: There's surprise sign
So let's live in the dream
Jiulize katika miaka 30 iliyopita Bayern, Madrid, Barcelona and the likes wameshinda makombe mangapi alafu na ww ujilinganishe umechukua mangapi?Kuna watu humu wanajiita LIVERPOOL HALISI halafu wana Mentally za West ham, Stoke city, Brighton, Sunderland Namkumbusha tu Mkuu MALAFYALE, Liverpool ni timu ya SILVERWARE ni level ya Madrid, Bayern Liverpool sio timu ya kushiriki kwenye Competition tu Liverpool ni timu Trophy.
Liverpool hawana bahatiJiulize katika miaka 30 iliyopita Bayern, Madrid, Barcelona and the likes wameshinda makombe mangapi alafu na ww ujilinganishe umechukua mangapi?
Je una mchezaji wa kushindana na Modric au Casemiro au Macello, au Varane au Bale ku-earn first spot in the first team? Tena angalau sasa hivi una wachezaji watatu wanaweza kufanya hivyo ila kwa miaka 30 mmekuwa wabovu sana.
Sasa ngoja mtoke kapa EPL na CL nione kama Salah huyu ambaye FA ya kwao inataka aende Madrid kama mtaweza kumkeep
Sent using Jamii Forums mobile app