Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hili haliwezakani ila kwa makocha wanaomini katika mbinu za kiufundi mtu kama Origi anapata muda wa kucheza walao dakika 30 katika mechi dhaifu au zenye ushindi mzuri wa mapema hii inasaidia kumpa moyo mchezaji mdogo kupanda

Sasa Hapa Tumefahamiana kwa 100%.
Nakushukuru sana kwa ufafanuzi wako wa mjadala huu mdogo tuliouendesha.

Kwavile tumeshakamata £19m ya Solanke.
Na Kuna £7m ya Karius
Na kuna £20m ya Ings
Hapo tunapaswa kuchangachanga kwa kutoa baadhi ya Wachezaji kama kina Lallana na Mignolet ili kutimiza at least £100m tuweze kupata wachezaji 2 talented wakuweza kupambana.
 
Karibuni ushetanini muunge mkono juhudi za Sosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We gonna sign Lovren after coming back from injury

We gonna sign Wilson after the loan spell

We gonna sign Grujic after loan spell
 
Mkuu usifike mbali. Komaeni na UEFA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huyo Bissaka kumpata januari hii sidhani kama atatoka kwa pesa ndogo. Njooni tuwape Ampadu kwa mkopo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa kwenye beki sioni shida wakipona wote.Fikir na Rabiot wangetosha kuengeza nguvu foward sizani kama tutapata wa clas kipindi hiki huyo wa Lepzing sizani kama atamzidi Salah zaidi aje alete choyo tu aharibu pale mbele.tunge bahatisha mtu kama Suarezi pale mbele tungeshinda vyote
 
Keita ni mfano wa Isco mzee baba hajatumika tu tuangalie na aina ya makocha wetu pia tunaweza tamani wachezaji wasio tumika atakuja Fekir apo utaambiwa hajafit mfumo bado Hendo anaendelea kuonhoza jahazi.

Naamini kama sio mashabiki basi Fabinho mpaka kesho angekua benchi
 
Keita hajaamini kabisa kama jana pasi kibao final third kapoteza,uzuri talent pale ipo ni kujiamini tu na kua na jicho la pasi mengine anarekebishika..

kwa hio Mkuu tubaki hivi hivi au tusajili nani?
 
Kuna watu humu wanajiita LIVERPOOL HALISI halafu wana Mentally za West ham, Stoke city, Brighton, Sunderland Namkumbusha tu Mkuu MALAFYALE, Liverpool ni timu ya SILVERWARE ni level ya Madrid, Bayern Liverpool sio timu ya kushiriki kwenye Competition tu Liverpool ni timu Trophy.
 
We gonna sign Lovren after coming back from injury

We gonna sign Wilson after the loan spell

We gonna sign Grujic after loan spell

Heheh Lovren abaki huko huko, but in reality tunamhitaji mpaka Matip, Gomez wapone.

Lovren anahitajika sana tu maana sasa Fabihno itabidi atumke kucheza defence badala ya kucheza midfield.

hivyo Fabi akirudi defence guess Henderson tunae sanaaaa tu..

Grujic alikua majeraha long term hivi alishapona?

Ojo chap kutumwo Reading kwa mkopo tena.
 
Keita hajaamini kabisa kama jana pasi kibao final third kapoteza,uzuri talent pale ipo ni kujiamini tu na kua na jicho la pasi mengine anarekebishika..

kwa hio Mkuu tubaki hivi hivi au tusajili nani?
Sasa mkuu utamtoa Keita huko aliko yupo vizuri mnoo mpaka ukamtamani akija kwako anakua hajiamini itasaidia kweli hii?
 
Sasa mkuu utamtoa Keita huko aliko yupo vizuri mnoo mpaka ukamtamani akija kwako anakua hajiamini itasaidia kweli hii?
huo ndio ukweli kabisa hata Klopp anasema Keita wa leo sio wa RB...

ukiachana na majereha he is still adapting but anahitaji kujiamini zaidi esp kwenye position ambazo zinaweza leta magoli...
 
huo ndio ukweli kabisa hata Klopp anasema Keita wa leo sio wa RB...

ukiachana na majereha he is still adapting but anahitaji kujiamini zaidi esp kwenye position ambazo zinaweza leta magoli...
Ukiona hivyo ujue kuna tatizo la kiufundi kwa mwalimu.
Alicho mfanyia Keita anastahili ku flop

Hivi inawezekanaje upangwe uonyeshe uwezo mkubwa tu ghafla mechi ijayo unapigwa benchi anarudishwa aliekuwepo utajisikiaje?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…