Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Nimeelewa
Asante Malafyale kwa maelezo. Ni kweli Coutinho au mchezaji yeyote anayetegemewa na timu anatakiwa aondoke wakati aidha kuna mbadala au mwisho wa msimu. Ndio maana Hazard anasisitiza hataondoka katikati ya msimu Chelsea
Nadhani mimi mtaniona wa ajabu kidogo kutokana na hilo swala, simwoni jamaa kama msaliti isipokuwa alipigania kwenda sehemu alipoona pana maslahi kwake.
Kabla ya hiyo January jamaa aliomba kuhama mapema, that was July. Timu ikagoma kabisa na kuna bids kadhaa zilikataliwa mpaka transfer window ikafungwa. Ilipokuja nyingine timu zikafikia makubaliano jamaa akaondoka.
Wachezaji wanachukuliwa kama watumwa, tunasahau kwamba wako kazini, akiuzwa na timu tunasema ni business, akiomba kuondoka tunamwita msaliti.
kwa kocha tulie ni rahisi saana kuchuwa than any other cups ambazo ni mechi moja tu ya kuamua mshindi.a good question, my man.
for the sake of stability at the club, needless to mention the importance of retaining our key players going forward, I want us to win at least one (any) trophy this season.
zero trophy this season, then the Salah's of this world will start looking elsewhere and the "Klopp out" chinjachinja's will start sharpening their vichinjio's once more and I won't blame them. stakes are such high and Klopp should be fully aware.
the FA Cup presents us with the most realistic chance for silverware because of the present LFC fear factor vs English clubs. so i would deploy a very strong line up vs Wolves tonite.
I know many fans have their eyes on the EPL, and rightly so, but i don't fancy us putting all our eggs in one delicately tilted basket.
UCL? well.... i don't want to even talk about that one because it's as good as lottery!
Nadhani mimi mtaniona wa ajabu kidogo kutokana na hilo swala, simwoni jamaa kama msaliti isipokuwa alipigania kwenda sehemu alipoona pana maslahi kwake.
Kabla ya hiyo January jamaa aliomba kuhama mapema, that was July. Timu ikagoma kabisa na kuna bids kadhaa zilikataliwa mpaka transfer window ikafungwa. Ilipokuja nyingine timu zikafikia makubaliano jamaa akaondoka.
Wachezaji wanachukuliwa kama watumwa, tunasahau kwamba wako kazini, akiuzwa na timu tunasema ni business, akiomba kuondoka tunamwita msaliti.
Sometimes we tend to be selfish because of fighting for trophies.
Ni swali tu Nauliza wakuu na wala siko kwenye point ya kuanzisha mjadala!!
"Kwa Mfano ikitokezea tukimaliza msimu huu with ZERO TROOHY ikapelekea wachezaji kuvunjika Moyo na hatimae SALAH, MANE, FIRMINO, VVD, ALISSON, GOMEZ na ROBERTSON wakadai kuondoka ili wakatafute mafanikio kwengine Kama Coutinho! Je ili tuoneshe kuwa tupo kiuwanamichezo kuliko uselfish, tunapaswa kuwauza wote na tukakusanye watoto Academy ili tutengeneze timu mpya?" Coz tukiwazuia ni uselfish!!!!
Mimi ninachojua mpira ni biashara! Na biashara haitazami Maslahi ya Mteja (Mchezaji) tu, Bali pia inaangalua Maslahi ya Tajiri (Mmiliki na Bodi ya Timu).
Grujic ni fundi haswa mzee sielewi kwanini JK alishindwa kumtumiaHata Mimi pia sivutiwi na usajili wa Vitoto kwani sio maranyingi huwa Vinatoboa hivi vitoto.
Vitoto vinavyoweza kutoboa ni vile vilivyotokea Academy tu kama walivyotoboa TAA na vile vilivyonunuliwa ikisha Vikatupwa Academy kama Gomez na mtarajiwa Ki-Jana.
Lakin hivi vitoto vya kununuliwa halafu directly vikatupwa Timu ya Wakubwa kama Solanke na Grujic basi si rahisi kutoboa.
Wachezaji Wanaotoboa kirahisi ni wale wanaonunuliwa wakiwa Matured kama Salah, Mane, Firmino, OX, Xhaqiri, Fabinho, Keita, VVD, Alison, Gini, Robertson, etc.
Sheria ya uefa vip ishaboreshwa..mfano akichukuliwa Fekir...anaweza kucheza UEfa round of 16 na liverpoolHili deal la Fekir linazungumzwa sana! Nafikiri limeibuka Juzi baada ya Mido yetu Kuwa exposed kwenye game ya City.
hapana hatashiriki Uefa msimu huu sheria hairuhusuSheria ya uefa vip ishaboreshwa..mfano akichukuliwa Fekir...anaweza kucheza UEfa round of 16 na liverpool
Sent using Jamii Forums mobile app
hapana hatashiriki Uefa msimu huu sheria hairuhusu
Nna hakika Boby anamcheki tu huku anafurahi nje na ndani ya uwanjaYani From Hero to Zero
Katoka from Little Magician na kuingizwa uwanjani dakika ya 84' Jana π
Kocha simuelewagi hatumii vijana hata pale tunapokua tumeshinda ushindi mzuri.Grujic ni fundi haswa mzee sielewi kwanini JK alishindwa kumtumia
Am glad allison and Van Dijk are out of this clash kabisa.. Wamehusika sana this season
Let them rest a bit
Ni swali tu Nauliza wakuu na wala siko kwenye point ya kuanzisha mjadala!!
"Kwa Mfano ikitokezea tukimaliza msimu huu with ZERO TROOHY ikapelekea wachezaji kuvunjika Moyo na hatimae SALAH, MANE, FIRMINO, VVD, ALISSON, GOMEZ na ROBERTSON wakadai kuondoka ili wakatafute mafanikio kwengine Kama Coutinho! Je ili tuoneshe kuwa tupo kiuwanamichezo kuliko uselfish, tunapaswa kuwauza wote na tukakusanye watoto Academy ili tutengeneze timu mpya?" Coz tukiwazuia ni uselfish!!!!
Mimi ninachojua mpira ni biashara! Na biashara haitazami Maslahi ya Mteja (Mchezaji) tu, Bali pia inaangalua Maslahi ya Tajiri (Mmiliki na Bodi ya Timu).
Ili ufanikiwe kibiashara hakuna kuangaliana usoni, kuoneana huruma kwa expense ya business, unapoona opportunity unaitumia.
Klabu inatakiwa ku-operate kwa maslahi yake kwanza, ya mteja baadae. Ndo maana Coutinho hakuachiwa haraka mpaka walipoona kwamba ni faida kumuuza at that point. Wangeona si sahihi wangeweza kuweka ngumu kwa sababu alikuwa na mkataba na angetakiwa kuutii.
Kwa upande wa mchezaji napo anachanga karata zake anaona huu ni wakati wa kujadili upepo anaamua kumove on, ubaya yeye hayuko kwenye upande wa maamuzi, na ndiyo maana tunaishia kumlabel majina kwa sababu mchezaji anapoomba kuondoka propaganda zinakuwa nyingi.
Ni swali tu Nauliza wakuu na wala siko kwenye point ya kuanzisha mjadala!!
"Kwa Mfano ikitokezea tukimaliza msimu huu with ZERO TROOHY ikapelekea wachezaji kuvunjika Moyo na hatimae SALAH, MANE, FIRMINO, VVD, ALISSON, GOMEZ na ROBERTSON wakadai kuondoka ili wakatafute mafanikio kwengine Kama Coutinho! Je ili tuoneshe kuwa tupo kiuwanamichezo kuliko uselfish, tunapaswa kuwauza wote na tukakusanye watoto Academy ili tutengeneze timu mpya?" Coz tukiwazuia ni uselfish!!!!
Mimi ninachojua mpira ni biashara! Na biashara haitazami Maslahi ya Mteja (Mchezaji) tu, Bali pia inaangalua Maslahi ya Tajiri (Mmiliki na Bodi ya Timu).
Mkuu usiniambie unataka turudi kwenye hii era
Hslafu unakuta tunafanya usajili wa kutisha wa Striker, Kumbe striker wenyewe ni Baloteli πππ