Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nakujibu. Kukubali ukweli sio jukumu langu.Golikipa alipoteza umakini baada ya kuchezewa rafu.
Every body knows.

Sent using Jamii Forums mobile app

Shule hukusomeshwa kujibu usichoulizwa!

Mimi sikukuuliza kwanini kafungisha! Kwahiyo hayo ya kugongwa au kuto kugongwa sio majibu ya swali langu.

Swali nililokuuliza ni hili: "Karius Katufikisha Fainali ya CL Msimu uliopita kabla ya Alisson, Kwanini Klopp Hakuendelea kumtumia Karius aliyetufikisha Fainali badala Yake golini anamueka Alisson ambaye hakutusaidia chochote kufika Fainali?"

Hilo swali nimekuuliza wewe kwasababu ni katika wanaoamini kuwa Henderson ni mchezaji bora anaepaswa kucheza kila game kwasababu tu eti katufikisha Fainali! Kwahiyo na Karius alipaswa msimu huu aichezee Liverpool kila game coz alitufikisha Fainali.. Kwahiyo alisson alipaswa kukaa Bench coz hakushiriki kutufikisha ainali.

Jibu swali Nililokuuliza tafadhali
 
Mnapendekeza acheze nani? Naona mnalalamika bila kutoa suluhisho mbadala.
 
Tucheze 9 ndani badala ya 10.

[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu nakuhakikishia hii vita dhidi ya Lovren na Henderson katu haitoisha mpaka Klopp atakapojua kuwa hawa ndiyo waliotufikisha hapa tulipo kuwa mpaka tumesahau namna makombe yanavyobebwa.
Nitaendeleza vita no matter what they say against us kama hatujui kitu au tunachuki potelea pote.
Tunataka wachezaji wanaoweza kutuletea Makombe Anfield.

This is an endless war

#YNWA
 
hiyo ndio maana ya slogani yenu lakini baadae mnafanya maamuzi.... kumkejeli mchezaji huwa kunavunja moyo na wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kamshabiki Flani sijui anatokea pande za Mkuranga eti amecomment hapo juu kuwa "King ngwaba yeye anapenda ushindi tu"..... Hivi Kuna kombe linalobebwa bila kushinda?

Kumbe tunajibizana na watu wanaoridhika timu isishinde kila mchezo bali ipante points za kuingilia Top Four tu!

Yani nacheka kwa dharaaau! [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Nimejikuta nakuwa mpenzi wa Comments Section kwenye Echo maana Klopp anachanwa vya kutosha kuhusu hiyo misukule yake, yaani toka alivyotangaza kikosi.

Kina Ian Doyle wenyewe somo limewaingia, naona wanaona hata aibu kutetea tena.

Ila comments zinachekesha aisee.
 
Kuna watu humu wanatakiwa wapitie kwenye page ya liverpoolecho watapata faida kubwa sio kubisha kila tunalosema kuhusu hizi mido zetu za hendo,gin,milner
 
Seconded!
 
Mkuu una influence gani liver? Labda tuanzia hapa, klopp anajua kama kuna nchi inaitwa tanzania?
 


Lovren, Hendo pamoja na TAA
 
Mkuu una influence gani liver? Labda tuanzia hapa, klopp anajua kama kuna nchi inaitwa tanzania?
Za asubuhi.
Naombeni kujua dege letu tulilolinunua kwa pesa yetu tena CASH, dege la AIRBUS A220-300 linalotazamiwa kutua leo, tulitegemee saa ngapi?
Leo mtoto hatumwi dukani, watanzania wote tunalisubiri kwa hamu zote dege letu. Naombeni kujua muda wa TOUCH DOWN na wanaanza kurusha matangazo saa ngapi watanzani tulio mbali na Dar na tutaoshindwa kwenda kulipokea angalau tuangalie ktk tv?

Wewe kwa huu ujinga wako una influence gani kwa magufuli???
Tujaribu kushambulia hoja na sio mtoa hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Dogoo TAA akabe then hakutakuwa na mtu mwenye shida nae
 
huyo anaekataa chemistry ya Gini, Henderson na Milner akapimwe mkojo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…