AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
Mkuu ishu kwa midfield ya Hendo, Gini,Milly imeshindwa kusaka pointi 3 muhimu maana ukweli ni kwamba tulizihitaji SANA pointi 3 kwa City ili angalau tukae kileleni na bonous ya pointi 10...hivyo ile gemu ilitakiwa wacheza kama ndio ya kufunga msimu sasa matokeo yake tukawa tunaomba mpira uiishe maana hali ingeku mbaya zaidi...
Mnakumbuka fainali ya UCL vs Ac Milan au FA fainali vs Westham...wachezaj walikua wanajituma jihad maana wanajua hizi nafasi hazij kila siku, hivyo hii midfield kwa kweli Klopp aipumzishe jama
King anapenda ushindi tuuu.
Umempa analysis ya kiufundi.Before Fabinho tumeingia CL final, Capt alikuwa Hendo.
Unbeaten, Capt ni Hendo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa kibovu ww umekurupuka nani kasema klopp hawez kumfunga guardiola nilichozungumzua ni issue nzima ya trophy kama uefa ,league
Sasa Kampiga mara 3 afuu ikawaje au alipata nini????
Hatushangilii kushinda kwa pep pekee ila tunataka trophy
Kikikuuma chomoa wanakosea manabii bhana ije kuwa klopp yeye ni MTU gani mpk asiambiwe anapo kosea
Hiv ushafatilia mitandao ya kijamii na account za LFC kwa sasa watu wana pinga hiyo takataka anayo ipangaga hapo DM huyo klopp wako unaemuona mungu mtu
Klopp ni kocha mzuri ila anakosa chembechembe za hekima mpk sasa thus y mambo mengi kwake yanaenda kombo
Anatakiwa aachane na kiburi cha kufuga hao wacheza ragbi wa EPL ndipo atakua bora zaid ya hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Conclude mkuu naona umeishia njiani so tuamini klopp ni bora kiukocha kuliko guardiola?
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaambiwa unampangia kocha na amefanya jambo bovu kabsaa nahis amemharibu kiakili mchezajinimeshindwa kuelewa mwanini Klopp kamtoa kwa mkopo Clyne.I can say this is wrong and shocking decision. i doubt if we will lift the cup this season.
I think it's a bad decision. Trent loses possession quite often lately. Miss placed several passes last night in promising positions.
I don't want to see Gomes playing right back he is part of the best centre back in the league and should always play ahead of lovren. Fabinho will be wasted at right back as he should start ahead of henderson.
We have just weakened our squad for the most important part of the season.
This will come back to bite us as he should start ahead of Trent. One of our biggest weakness is our set pieces.
Milner delivery is poor. Trent doesn't miss the first man on corners. Bad decision and not just because of last night. I would love klopp to go and get fekir. I think one top class signing will kick us on to the title just like when we bought virgil.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa anatabia za kibabe ni muda tu tusubiri atakuja kwamishwa na wachezajiKuna muda vinafanyika vitu vya ajabu sana mpaka unaishia kusikitika tu.
Of all people, didn't expected Clyne to be the one, we still have Matip and Gomez on the sideline. BTW, what do I know?
Don't read only mitandao ya kijamii.Kichwa kibovu ww umekurupuka nani kasema klopp hawez kumfunga guardiola nilichozungumzua ni issue nzima ya trophy kama uefa ,league
Sasa Kampiga mara 3 afuu ikawaje au alipata nini????
Hatushangilii kushinda kwa pep pekee ila tunataka trophy
Kikikuuma chomoa wanakosea manabii bhana ije kuwa klopp yeye ni MTU gani mpk asiambiwe anapo kosea
Hiv ushafatilia mitandao ya kijamii na account za LFC kwa sasa watu wana pinga hiyo takataka anayo ipangaga hapo DM huyo klopp wako unaemuona mungu mtu
Klopp ni kocha mzuri ila anakosa chembechembe za hekima mpk sasa thus y mambo mengi kwake yanaenda kombo
Anatakiwa aachane na kiburi cha kufuga hao wacheza ragbi wa EPL ndipo atakua bora zaid ya hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakujibu. Kukubali ukweli sio jukumu langu.Golikipa alipoteza umakini baada ya kuchezewa rafu.Yah! Upo sahihi Napenda ushindi tu na Ninachukia Kufungwa.
Key Points ya Hiyo Comment yako:
• Hendo Katufikisha Fainali
• Hendo Katufikisha Unbeaten mechi 20
Na hapo wewe na watu kama wewe ndiyo uchambuzi wenu unapoishia.
Kwahiyo kama Maarifa yako ndiyo yameishia hapo katika mpira sina cha kukusaidia.
Swali Moja tu ninakuuliza:
Karius Katufikisha Fainali ya CL Msimu uliopita kabla ya Alisson, Kwanini Hakuendelea Karius aliyetufikisha Fainali badala Yake golini anamueka Alisson ambaye hakutusaidia chochote kufika Fainali?
Ukinijibu kwa hoja Nahama JF
ulitegemea VVD ammind lovren hyo kitu haiwez fanyika maana liverpool ni moja ya timu inayotunza heshima dressingroom ktk kiwango cha juu soDon't read only mitandao ya kijamii.
Listen to what VVD react after the game.
Let me help you.
"It was a good game to watch, but I'm dissapointed b'se we lost the game.The ONLY thing we can do now is bounce back.We Will"
We can go on another unbeaten run but we take it game by game. WE KNOW IT IS GOING TO BE TOUGH".No reason to panic, only to keep going.
LOVREN,"We believe we are strong mentally no need of negativity or panic, we quickly encouraging each other to look ahead."
Hayo ni maneno jasiri ya wapiganaji wetu. Wanaamini watabeba ndoo.
Hao ndio wanaocheza, ndio wanamsikiliza Klop.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hiyo ndiyo spirit and discipline ya team what next do you expect from Klopp?ulitegemea VVD ammind lovren hyo kitu haiwez fanyika maana liverpool ni moja ya timu inayotunza heshima dressingroom ktk kiwango cha juu so
Usitegemee kumuona klopp au mtu yyt ambae yuko melwood ktk jopo la timu yetu atamsema mchezaji kwa ubaya hilo sahau
Refer karius pamoja nakufanya mautumbo yote hayo hajawah kumtaja vibaya ktk media zaid alikuwa anamsifia so unataka uniaminishe hata kariu alikuwa ni bora ktk squad yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha mkuuNakujibu. Kukubali ukweli sio jukumu langu.Golikipa alipoteza umakini baada ya kuchezewa rafu.
Every body knows.
Sent using Jamii Forums mobile app
kuwapiga benchi au kuwauza wachezaji ambao hawana maanaKama hiyo ndiyo spirit and discipline ya team what next do you expect from Klopp?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pre season ilifanyika baada ya CL. So jinamizi au flashbacks zilikuwa zinamsumbua. Ni kawaida kwa binadamu. Wenye akili zao wakasema apate mtaalam wa saikolojia.Haha mkuu
Uliangalia pre season utumbo alio ufanya karius au unabonga tu???
Sent using Jamii Forums mobile app
Great news i’ve heard so far this yearWakuu Mambo mazuri yanakuja ndani ya Liverpool!!
Bado Echo wanaendeleza Kampeni yao dhidi ya Mido na Lovren!
Wamechapisha Article hii:
Pundit and Liverpool fan Micky Quinn slams Lovren and midfield that faced City
TalkSPORT presenter and Liverpool fan Micky Quinn has slammed the midfield that faced Manchester City as “not good enough”.
He also stated that Jurgen Klopp must ditch Dejan Lovren from his defence to win the Premier League.
View attachment 986856Mickey Quinn