Kabla ya kuiponda fatilia wamecheza game ngapi na matokeo yakoje sio kulaumu tu.Nakazia tu!
Mido ya GINI - HENDO - MILNER Katu haiwezi kuleta Mafaniki kwenye timu yetu.
Na kwa Beki huyu LOVREN katu hatuwezi kufanikiwa iwapo ataendelea kucheza kwenye kikosi cha kwanza.
Huyo na genge lake wao wanajua nani acheze wapi na mechi gani kuliko Klopp.Fab kacheza game ngapi za epl, hizo mido ndizo zimewafikisha hapo with 4 points more. sometimes ukilalamika sana unaonekana dhaifu unajificha nyuma ya lawama zako
kwa taarifa yako hizo mido zimechangia nyinyi kutofungwa magoli mengi epl pamoja na beki zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa point 10 mtapata vipi na middle yenu kocha anayoiamini ndio hiyo isiyo na mafanikio. Mbona unajichanganya MkuuHili limeshapita! Ila baada ya michezo yetu hii 5 basi tutaongoza ligi kwa Points 10 na ninajiamini kwa hili.
January
√ 12 – Brighton and Hove Albion (A)
√ 19 – Crystal Palace (H)
√ 30 – Leicester City (H)
February
√ 4 – West Ham United (A)
√ 9 – Bournemouth (H)
Acha hizo atakua Fab maana aliingia kuokoa jahazi akifuatiwa na TAA
Challengers wapo but mna nafasi kubwa ya kuwin. usilewe sifa ukakosa la kusema baadae.Wanachoshangilia Opponents wetu hapa si sisi kukosa Ubingwa!
Bali wanashangiria sisi kufungwa tu ili tusiwe Unbeaten.
Lakini Kuhusu ubingwa wanajua wazi kuwa hakuna wakutuchallenge
Mkuu trust me! Tutaendelea hivihivi kuongoza Ligi mpaka mwisho wa Msimu na kubeba ubingwa kabisa.
Good wishes kuna mwenzako ameomba asirudi tena, chuki mbaya sanaGood luck to my main man Nat Clyne
hope you'll have lots of fun with your boy down there
keep it moving big boy
View attachment 986308
Sina cha kuongeza kwa kweli hili tuache unafiki timu yetu ya ushindi inajulikana kabisa sio muda wa kubet huu ni kupanga full squad ya ushindi hata kwenye FA cupyaan mpak wachambuzi wa Tanzania walio jaa ushabik na unafiki mwingi wanasema kuwa liverpool ikiendelea kuwa shikilia lovren na henderson bas haito twaa ubingwa kamwa BADO KUNA MABULLDOZA HUMU YANAJIFANYA KUONA KLOPP YUKO SAHIHI KWA KILA KIKOSI ANACHOPANGA HUO NI UPUMBAFU TENA MKUBWA klopp hatokuja kuwa bora mbele ya pep mpk atakapo fanya makubwa aliyo yafanya pep na hawez kuwa kufika level za pep kwa sasa mpk pale atakapo waacha hendo na love njeee huko wasugue benchi mpk akil ziwakae saw
Tazama pep kamshikilia Fernandinho no matter ni game gani ya Epl au Uefa kumwacha kwake ni mpk apate injury sasa klopp anatufanyia rotation ya mildfields ambazo ndizo za muhimu na kutupangia ule uchafu wa hendo
Huu ujinga hauvumiliki klopp akiendelea hivi ataishia kufuga ndevu ila ushind wa trophy asahau dadika zake
Ww una KEITA,GINI,FAB,MILNER,SHAKIR, Anataka apew nn kingine ajue kwamba hao watu ni very potential
Hendo hendo hendo huu ni uchafu tu kubabake zake
Lovren lovren huyu ndo mchomeshaji mkubwa kabisa
Klopp lazima atulize akil na ajue Epl sio Bundersliga ligi inayotawaliwa na timu mbil bali EPL ni more than 5 teams all they need trophy so
Klopp ajitoe kwenye kitanzi cha waingereza maisha atayafurahia ila akitaka kuishi kwa kutapatapa kila siku basi awakumbatie hao wacheza ragbi wawil LOVREN na HENDO
"THERE IS NO MERCY FOR COWARDS"
NARUDIA TENA KLOPP LAZIMA ACHUKUE MAAMUZI MAGUMU SANA TENA SANA KUANZA KUMPIKA BENCHI HENDO MPAK ASAHAU NAMBA YAKE kuhusu huyo LOVREN yy hana shaka huyu yy kesi yake GOMEZ kasha imaliza
YNWA
Sent using Jamii Forums mobile app
yaan mpak wachambuzi wa Tanzania walio jaa ushabik na unafiki mwingi wanasema kuwa liverpool ikiendelea kuwa shikilia lovren na henderson bas haito twaa ubingwa kamwa BADO KUNA MABULLDOZA HUMU YANAJIFANYA KUONA KLOPP YUKO SAHIHI KWA KILA KIKOSI ANACHOPANGA HUO NI UPUMBAFU TENA MKUBWA klopp hatokuja kuwa bora mbele ya pep mpk atakapo fanya makubwa aliyo yafanya pep na hawez kuwa kufika level za pep kwa sasa mpk pale atakapo waacha hendo na love njeee huko wasugue benchi mpk akil ziwakae saw

Huyu fundi anakosaje namba mbele ya Henderson? Jama haya ni maajabu ya dunia.
Kwenye ukweli lazima ukweli usemwe hata ukiwa mchungu kuweka mids ya Hendo,Gin,Milner ni kujitafutia majanga yasiyo na umuhimu
Man u fans walilia sana kuwekwa benchi kwa pobga kwa hiyo mashabiki wa man u walikuwa wanalilia kitu ambacho hawajui
Lakini kuja kwa OGS kumwanzisha Pobga na Mata kinachotokea kila mtu anajua
Kwa hiyo mashabiki wa liver wanaposema kuwa mid ya hendo,gin,milner ni dhaifu kuna ukweli kuhuso hilo tukubali tukatae kwa sababu mpira unachezwa hadharani sio chumbani na tumeshinda mechi nyingi msimu huu kwa formation ya 4231 sioni kwa nini tung'ang'anie 433
Nawatakia jumamosi njema YNWA
yaan mpak wachambuzi wa Tanzania walio jaa ushabik na unafiki mwingi wanasema kuwa liverpool ikiendelea kuwa shikilia lovren na henderson bas haito twaa ubingwa kamwa BADO KUNA MABULLDOZA HUMU YANAJIFANYA KUONA KLOPP YUKO SAHIHI KWA KILA KIKOSI ANACHOPANGA HUO NI UPUMBAFU TENA MKUBWA klopp hatokuja kuwa bora mbele ya pep mpk atakapo fanya makubwa aliyo yafanya pep na hawez kuwa kufika level za pep kwa sasa mpk pale atakapo waacha hendo na love njeee huko wasugue benchi mpk akil ziwakae saw
Tazama pep kamshikilia Fernandinho no matter ni game gani ya Epl au Uefa kumwacha kwake ni mpk apate injury sasa klopp anatufanyia rotation ya mildfields ambazo ndizo za muhimu na kutupangia ule uchafu wa hendo
Huu ujinga hauvumiliki klopp akiendelea hivi ataishia kufuga ndevu ila ushind wa trophy asahau dadika zake
Ww una KEITA,GINI,FAB,MILNER,SHAKIR, Anataka apew nn kingine ajue kwamba hao watu ni very potential
Hendo hendo hendo huu ni uchafu tu kubabake zake
Lovren lovren huyu ndo mchomeshaji mkubwa kabisa
Klopp lazima atulize akil na ajue Epl sio Bundersliga ligi inayotawaliwa na timu mbil bali EPL ni more than 5 teams all they need trophy so
Klopp ajitoe kwenye kitanzi cha waingereza maisha atayafurahia ila akitaka kuishi kwa kutapatapa kila siku basi awakumbatie hao wacheza ragbi wawil LOVREN na HENDO
"THERE IS NO MERCY FOR COWARDS"
NARUDIA TENA KLOPP LAZIMA ACHUKUE MAAMUZI MAGUMU SANA TENA SANA KUANZA KUMPIKA BENCHI HENDO MPAK ASAHAU NAMBA YAKE kuhusu huyo LOVREN yy hana shaka huyu yy kesi yake GOMEZ kasha imaliza
YNWA
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tokea Juzi Ninafuatlia habari za Liverpool Echo naona wamesheheni Kupost Makala za Midfield..
Na Kumbuka hawa Echo ndiyo waliokuwa wakimpressurize Klopp kuwachezesha MILNER-HENDO....
Sasa Ukweli umeshathibi kuwa Hiyo ni Mido mbovu! Kwahiyo nawao Echo wanaanza Kumpressurize Klopp asiichezeshe hiyo Mido na Kumpigia debe Fabinho.
Kwahiyo naamini Mambo mazuri yanakuja coz Echo wana influence kubwa sana kwa Liverpool.
Echo wakati wameshaikataa hii Mido ya GINI-HENDO-MILNER basi naamini haitokuja tena.
Hii timu haikuhusu sisi ndio tunauchungu na timu yetu