Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
King kwa tabia yako yako ya kuunderlate wachezaji baadhi hata kma tungeshinda utalalamika tu lovren kacheza vibaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mohamed Salah registered just 32 touches against Man City, the fewest among all players who started the match.
Limited to scraps. 🥶
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kushinda game hakumfanyi garasa awe Messi.
Hata hivyo mbona nakubali kuwa Lovren ni Man of the Match Jana.
Kaupiga mwingi tu Mkuu mpaka kamficha Aguero hakufurukuta
Kuna Siku nilikuambia kwenye mpira unacjokijua ni kimoja tu kuleta Stats za Mo Salah na za Hazard!
Ukajifanya kubisha
Kushinda game hakumfanyi garasa awe Messi.
Hata hivyo mbona nakubali kuwa Lovren ni Man of the Match Jana.
Kaupiga mwingi tu Mkuu mpaka kamficha Aguero hakufurukuta
Nyie ndio washabiki msiojielewa humu ndani.
Pumbavu zako Hendeson, Milner na Lovren hamstahil kuwa Club kubwa kama Liverpool.
Huyu Mbwa Klopp nawaambia hivi akiendeleza ukenge wa kuwalinda wachezaj wapuuzi type ya Henderson walah tutazeeka humu hata kikombe cha chai hatujabeba.
Haiwezekan mechi ndogo utupangie Fabh, Shaqir- keita alaf mechi kubwa kama ya City utupangie mbweha hawa Milner Hendo.
Hawa wapuuz walkuwa nusu watucost Uefa dhid ya Red star. Tukastruggle sana had mechi ya mwisho na Napoli.
Je huyu Klopp ni kiziwi au kipofu asiyeona hayo? Huyu mzee asipoangalia ipo siku ataishia kwa aibu zaid ya mourinho.
ki ukweli mechi nyingi anazopotezaga Klopp tangu ahamie Majogoo ni Jan n Feb yaaani hapa ndio kutulia sana historia hii isijirudie msimu huu, gepu hii inabidi kui maintain maana huyu City atapigika tena na hata sisi tukicheza kama jana vipigo vinatuhusu...
jana was really pathetic.
Ile line-up dhidi ya Arsenal ingewasaidia kupata angalau draw, lakini hii ya kumkabidhi Henderson aamue as a CMF mechi kubwa kama hii was a big mistake aliyofanya Klopp.I'd have reacted so quicker in the first half kama ningekuwa Klopp,
But today nimeona maajabu makubwa sana kutoka kwa Klopp tangu aje LFC, he changed the entire formation katika dakika ya 57 , from 433 to 4231
we all know, jinsi gani Klopp huwa ni stubborn katika ku-make changes mapema let alone changing the entire formation and Shape..
if anything, this shows kuwa the end of that Talent-less midfield is so near..
definetly we have to be clinical n play wt greedness in th next few games n wish nothin more bt winnning.yeah, we have easy fixtures now,
hoping for the best
man well said n we have learnt t tho th hard way..Ile line-up dhidi ya Arsenal ingewasaidia kupata angalau draw, lakini hii ya kumkabidhi Henderson aamue as a CMF mechi kubwa kama hii was a big mistake aliyofanya Klopp.
Ile line-up dhidi ya Arsenal ingewasaidia kupata angalau draw, lakini hii ya kumkabidhi Henderson aamue as a CMF mechi kubwa kama hii was a big mistake aliyofanya Klopp.
definetly we have to be clinical n play wt greedness in th next few games n wish nothin more bt winnning.
The weakest link ilikuwa kwa Lovren, midfield trio ya Hendo na Milner lacks creativity zaidi ya kuongeza presha kwa mabeki na njaa kwa front three
Henderson n Milner shold b bench warmers from now henceforth....just play Fabinho, kwenye games zote now as 6, Hendo should be a late sub kwenye 8 role as Keita need to come in now
need to play our best team from now on
Mlianza Na De bruyne maneno hayohayo akikosekana basi Citizens kwishney, sasa mmehamia kwa Fenandinho.Uko sahihi kusema kuwa Man City alipigwa na Chelsea na Fernandinho akiwepo uwanjani,lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Fernandinho ndio injini ya Man City.
Mechi nyingi ambazo Fernandinho anakuwa hayupo uwanjani Man City huwa anashindwa kupata matokeo mazuri. Leo Liverpool amepoteza mechi,lakini tukisema Salah ndio mchezaji muhimu wa Liverpool wala hatukosei hata kama Liverpool kapoteza mechi Salah akiwa uwanjani.
MWISHO: Kumbuka kuwa Fernandinho hana mbadala ndani ya Man City,mpaka sasa Guardiola anahaha kutafuta mtu ambaye atacheza nafasi ya Fernandinho pindi Fernandinho anapokuwa hayupo fit.